Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa na Bw. Shinichiro Otsuka, Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Toyota Tsusho Corporation wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wengine wa TOYOTA TSUSHO na UBALOZI.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA TOYOTA TSUSHO, JIJINI TOKYO NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA UENDESHAJI WA KAMPUNI HIYO

Tarehe 17 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Bw. Shinichiro Otsuka, Mkurugenzi Mkuu wa Uendeshaji wa Toyota Tsusho Corporation, katika Makao Makuu ya kampuni hiyo…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Tanzaniaphilia, ulipotembelea Ubalozini, Tokyo.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA TANZANIAPHILIA YA JAPAN

Tarehe 16 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alipokea ugeni wa Bi. Kuniko Shimizu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzaniaphilia, inayojishughulisha na biashara na utangazaji wa bidhaa za…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa na Bw. Shigeki Komatsubara, Mkurugenzi Mkaazi wa United Nations Development Programme (UNDP) nchini Tanzania, alipotembelea Ubalozini jijini Tokyo.

MKURUGENZI MKAAZI WA UNDP NCHINI TANZANIA, BW. SHIGEKI KOMATSUBARA AMTEMBELEA BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA, JIJINI TOKYO

Tarehe 16 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alipokea ugeni wa Bw. Shigeki Komatsubara, Mkurugenzi Mkaazi wa United Nations Development Programme (UNDP) nchini Tanzania.Mazungumzo hayo…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na mwakilishi wa Kampuni ya WATATU, inayoendeshwa na wajapani watatu waliojitolea nchini Tanzania kupitia Mpango wa JICA.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEWA NA MWAKILISHI WA KAMPUNI YA WATATU, INAYOENDESHWA NA WAJAPANI WALIOJITOLEA NCHINI

Tarehe 13 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa amepokea ugeni wa Bi. Reina Kato, mwakilishi wa Kampuni ya WATATU, taasisi ya Wajapani waliowahi kujitolea nchini Tanzania kupitia Mpango wa Japan…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TOKUSHUKAI Medical Group, Bw. Higashiue Shinichi, na wawakilishi wengine wa TOKUSHUKAI

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA TAASISI YA TOKUSHUKAI YA JAPAN KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA UPANDIKIZAJI FIGO NA VIUNGO NCHINI

Tarehe 13 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tokushukai Medical Group, Bw. Higashiue Shinichi, yaliyojikita katika kuendeleza na…

Read More

TRAVEL TANZANIA WITH CONFIDENCE AND PEACE OF MIND

Your safety is our top priority. The Tanzania Tourism Sector Safety and Protection (TTSSP) is dedicated to ensuring you have a secure, world-class experience while exploring our beautiful country.Before you…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Japan kwa majadiliano ya Mkataba wa Uwekezaji (Bilateral Investment Treaty – BIT) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE WA TANZANIA WA MAJADILIANO YA MKATABA WA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA JAPAN

Tarehe 11 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa amepokea Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Japan kwa majadiliano ya Mkataba wa Uwekezaji (Bilateral Investment Treaty – BIT) kati ya Jamhuri ya Muungano wa…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa AFRECO, Bw. Tetsuro Yano mara baada ya kuhitimisha kwa mazungumzo yao.

MAZUNGUMZO KATI YA BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA NA RAIS WA TAASISI YA AFRECO KWENYE MAKAO MAKUU YA TAASISI HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 10 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Rais wa The Association of African Economy and Development in Japan…

Read More