Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa AFRECO, Bw. Tetsuro Yano mara baada ya kuhitimisha kwa mazungumzo yao.

MAZUNGUMZO KATI YA BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA NA RAIS WA TAASISI YA AFRECO KWENYE MAKAO MAKUU YA TAASISI HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 10 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Rais wa The Association of African Economy and Development in Japan…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Wizara ya Sheria ya Japan

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUMGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA YA WIZARA YA SHERIA YA JAPAN

Tarehe 10 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa…

Read More
Maafisa Ubalozi, Bi. Edna Dioniz Chuku na Bw. Hosea Chikolongo kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Kampuni ya ZENSHO, miongoni mwa makampuni makubwa ya chakula nchini Japan.

MAZUNGUMZO YA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA KIJAMII KATI YA TANZANIA NA KAMPUNI YA ZENSHO, JAPAN

Tarehe 9 Februari 2026, Ubalozi ulifanya mazungumzo na wawakilishi wa Kampuni ya ZENSHO, miongoni mwa makampuni makubwa ya chakula nchini Japan. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUMGUMZO NA MWENYEKITI WA TAASISI YA NIPPON (NIPPON FOUNDATION), BW. YOEI SASAKAWA KWENYE MAKAO MAKUU YA TAASISI HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 9 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Nippon, Bw. Yohei Sasakawa. Taasisi…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa, alipotembelea Makao Makuu ya JGC Corporation jijini Yokohama na kuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Bw. Koji Sakurai.

UIMARISHAJI WA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPAN KATIKA SEKTA YA NISHATI KUPITIA KAMPUNI YA JGC YA JAPAN

Tarehe 6 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa, alitembelea Makao Makuu ya JGC Corporation jijini Yokohama na kuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Bw. Koji Sakurai. Mazungumzo hayo…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Kiwanda cha Kuchakata na Kuteketeza Taka cha Kanazawa kinachosimamiwa na Ofisi ya Jiji la Yokohama.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA TAKA CHA KANAZAWA KINACHOSIMAMIWA NA OFISI YA JIJI LA YOKOHAMA

Tarehe 6 Februari 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa alitembelea Kiwanda cha Kuchakata na Kuteketeza Taka cha Kanazawa kinachosimamiwa na Ofisi ya Jiji la Yokohama, na kujionea namna mifumo ya kisasa ya…

Read More

MHE. ANDERSON MUTATEMBWA AMTEMBELEA MEYA WA JIJI LA YOKOHAMA, MHE. TAKEHARU YAMANAKA (Phd.) NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA JIJI HILO NA TANZANIA KUPITIA JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe 6 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Yokohama, Mheshimiwa Takeharu Yamanaka (Ph.D), yaliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Jiji la Yokohama na Tanzania…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA KAMPUNI YA UKAGUZI WA MAGARI YALIYOTUMIKA YA EAA COMPANY LIMITED

Tarehe 05 Febuari 2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan Anderson Mutatembwa alitembelea na kuona shughuli za kampuni ya Ukaguzi wa Magari yaliyotumika kabla ya kusafirishwa kwenda nchi mbalimbali ikiwemo…

Read More