THE OPENING CEREMONY OF JAPAN THROUGH DIPLOMATS’ EYES 2025 PHOTO EXHIBITION 2025

On 4th February 2025 the Embassy joined other Diplomatic Missions in participating at the Opening Ceremony of Japan through Diplomats’ Eyes 2025 Photo Exhibition at Yokohama Red Brick Warehouse.Her Imperial…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE KUTOKA TANZANIA ULIOWASILI JAPAN KWA AJILI YA MAFUNZO YA MASUALA YA GESI ASILIA

Tarehe 02 Febuari 2026 katika Ofisi za ubalozi Tokyo, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea ujumbe wa Wataalamu 14 kutoka Tanzania waliowasili nchini Japan kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi ya kuwajengea uwezo…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VINYAGO VYA KIMAKONDE KATIKA MJI WA TOBA JIMBO LA MIE

Tarehe 24 Januari 2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan Anderson Mutatembwa alitembelea Makumbusho ya Vinyago vya kimakonde (Makonde Art Museum) iliyopo katika mji wa Toba Jimbo la Mie nchini Japan. Makumbusho…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA NAGAI

Tarehe 19/01/2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan alikutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Nagai lililopo Mkoa wa Yamagata nchini Japan Mheshimiwa Shigeharu Uchita.Mazungumzo yao yalijikita katika…

Read More
Mhe. Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Yoshi Nomura, Naibu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa (International Cooperation Bureau) wa KEIDANREN (Japan Business Federation).

MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI WA SHIRIKISHO LA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA JAPAN LA KEIDANREN (KEIDANREN BUSINESS FEDERATION)

Leo, tarehe 16 Januari 2026, Mhe. Anderson Mutatembwa, ametembelewa na Bw. Yoshi Nomura, Naibu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa (International Cooperation Bureau) wa KEIDANREN (Japan Business…

Read More
Mhe. Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Dkt. Akihiko Tanaka, katika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Tokyo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JICA, JIJINI TOKYO

Tarehe 7 Januari 2026, Mhe. Anderson Mutatembwa, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Dkt. Akihiko Tanaka, katika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini…

Read More