MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA ASISITIZA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WALIOKO NCHINI JAPAN (DIASPORA), ALIPOKUTANA NAO KWA MAZUNGUMZO, TAREHE 19 MACHI 2023, TOKYO
Tarehe 19 Machi 2023, Mhe. Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan ijulikanayo, Tanzanite Society, kwenye Makazi ya Balozi, jijini Tokyo. Mkutano huo ulikuwa… Read More