Publications and Reports Change View → Listing

Picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee katika hafla ya uzinduzi wa kahawa mbili mpya kutoka Tanzania zitakazouzwa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee, nchini Japan, tarehe 1 Oktoba 2024

HAFLA YA UZINDUZI WA AINA MBILI MPYA ZA KAHAWA YA TANZANIA NCHINI JAPAN, KWA UBIA WA KAMPUNI YA ITO EN LTD NA TULLY’S COFFEE, TAREHE 1 OKTOBA 2024, TOKYO, JAPAN

Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Kampuni ya ITO EN LTD, kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina mbili mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan. Aina hizo…

Read More

ZIARA YA UJUMBE WA WAWEKEZAJI SITINI (60) KUTOKA JAPAN NCHINI TANZANIA, KUANZIA TAREHE 1 HADI 5 OKTOBA 2024

Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuwa Ujumbe wa wawekezaji 60 kutoka Japan, wanachama wa Shirikisho la Makampuni ya Japan kwa Maendeleo ya Miundombinu Afrika (Japan-Africa Infrastructure Development Association…

Read More

MANANASI YA TANZANIA KUANZA KUUZWA NCHINI JAPAN

Leo, tarehe 24 Septemba 2024, Balozi Baraka Luvanda amepokea kwa mara ya kwanza shehena la mananasi yaliyokaushwa kutoka Tanzania – Bagamoyo (Kimele, Mapinga) kupitia Kampuni ya Taishin Co. Ltd., ya Japan.…

Read More

TANZANIA NCHI YA MFANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA SEKTA BINAFSI JAPAN NA WAKULIMA WADOGO WA KAHAWA UNAOTEKELEZWA NA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MAENDELEO YA KILIMO (IFAD)

Tarehe 20 Septemba 2024, Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kwa ushirikiano wa Wizara ya Kilimo, Misitu na Uvuvi ya Japan (MAFF) na sekta binafsi chini ya makampuni makubwa ya Japan…

Read More
Access valuable information on investments in the Tanzania's ICT sector

TANZANIA ICT INVESTMENT PROFILE 2024/2025

Please scan the provided QR code to access valuable information on investments in the ICT sector in Tanzania. The information presented will provide you with key insights and data on current and potential…

Read More
Mhe. Seiichi Onodera, Naibu Waziri anayeshughulikia Miradi ya Kimataifa wa Wizara ya Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii ya Japan, Mhe. Balozi Baraka Luvanda na Bw. Gilead Teri, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania.

KAMPENI YA KUTANGAZA NA KUHAMASISHA FURSA ZA UWEKEZAJI ZA TANZANIA NCHINI JAPAN (TANZANIA INVESTMENT PROMOTION MISSION IN JAPAN) YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Tarehe 8 Juni 2024, Kampeni ya Kutangaza na Kuhamasisha Fursa za Uwekezaji za Tanzania nchini Japan iliyoongozwa na Mheshimiwa Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, pamoja na Bw. Gilead Teri,…

Read More

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - 60TH ANNIVERSARY: NATIONAL DAY SPECIAL SUPPLEMENT IN THE JAPAN’S MAJOR INTERNATIONAL NEWSPAPERS

A Special Supplement of the United Republic of Tanzania was published on April 26, 2024 in two major international newspapers in Japan, namely the Japan Times and the Japan News. The publication was made to…

Read More