Exhibitions and Fairs Change View → Listing

Mhe. Balozi Baraka H. Luvanda kwenye picha na wawakilishi wa Taasisi za Utalii za Tanzania pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yaliyofanyika Tokyo

KUHITIMISHWA KWA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN (JAPAN TOURISM EXPO 2022) YALIYOFANYIKA TAREHE 22 - 25 SEPTEMBA 2022 TOKYO, JAPAN

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2022), yaliyoanza tarehe 22 Septemba 2022 na kuhitimishwa tarehe 25 Septemba…

Read More

TANZANIA YAZINDUA FILAMU YA “THE ROYAL TOUR” ILIYOTAFSIRIWA KIJAPAN WAKATI WA UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN 2022 (JAPAN TOURISM EXPO 2022)

Leo tarehe 22 Septemba 2022, Tanzania imezindua rasmi filamu ya The Royal Tour iliyotafsiriwa Kijapan wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yajulikanayo kama Japan Tourism Expo.…

Read More

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA WILL PARTICIPATE IN THE “TOURISM EXPO JAPAN 2022” TO BE HELD ON 22ND - 25TH SEPTEMBER 2022 IN TOKYO

The United Republic of Tanzania will take part in this year's TOURISM EXPO JAPAN Edition which will run from 22nd September until 25 September 2022 at the Tokyo Big Sight in Tokyo, Japan. During the Expo,…

Read More

THE 6TH EDITION OF SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE); 21ST – 23RD OCTOBER, 2022; DAR ES SALAAM, TANZANIA

THE 6TH EDITION OF SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE)21ST – 23RD OCTOBER 2022DAR ES SALAAM | TANZANIAThe 6th Edition of Swahili international Tourism Expo (S!TE) will be held in Tanzania's commercial…

Read More
Picha ya pamoja ya washirilki wa Shindano la Lugha ya Kiswahili wakiwa tayari kuwasilisha Mada walizoandaa kama sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

MADA ZILIZOWASILISHWA WAKATI WA KUHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI, UBALOZI WA TANZANIA, TOKYO

Ubalozi wa Tanzania nchini Japan ulihitimisha maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yaliyoanza tarehe 7 Julai 2022 kwa kuwakutanisha wadau wa Kiswahili wa nchini Japan, Diaspora na Wanadiplomasia mbalimbali…

Read More