News and Resources Change View → Listing

WANARIADHA SITA WA TANZANIA WANG’ARA KATIKA MASHINDANO YA NAGAI MARATHON MWAKA 2026 NCHINI JAPAN

Wanariadha sita kutoka Tanzania wameng'ara katika mashindano ya mbio ndefu ya Nagai marathon kwa  mwaka 2026 yaliyofanyika tarehe 18/10/2026 katika mji wa Nagai uliopo Mkoa wa Yamagata, Japan.Katika mbio…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA KAMPUNI YA PRODUCT PLANNING RELATIONS (PPR) INAYOMILIKI PICHA ZA TINGATINGA 320

Tarehe 13 Oktoba 2026 Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea kampuni ya Product Planning Relations (PPR) inayomilikiwa na Bw. Sanata Mitsuyasu katika mji wa Takasaki, Mkoa wa Gunma nchini  inamiliki…

Read More

TANZANIA YAENDELEA KUTANGAZA KAHAWA YAKE KATIKA MAONESHO YA SCAJ 2026 NCHINI JAPANI

Tanzania, kupitia Wizara ya Kilimo na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Japani, inaendelea kutangaza kahawa yake katika Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Maalumu (SCAJ…

Read More

PUBLIC NOTICE: IMPLEMENTATION OF INBOUND TRAVEL INSURANCE FOR FOREIGN VISITORS ENTERING MAINLAND TANZANIA

National Insurance Corporation (NIC):https://inbound.nicinsurance.co.tz/Zanzibar Insurance Corporation (ZIC): https://inbound.visitzanzibar.go.tz 

Read More

BALOZI MUTATEMBWA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA KAMPUNI YA DNP YA JAPANI

Balozi wa Tanzania nchini Japani, Mhe. Anderson G. Mutatembwa, akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Kampuni ya Dai Nippon Printing (DNP), Bw. Satoshi Shimizu na Bw. Koichi Kishi, baada ya mazungumzo…

Read More