News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan (Tanzanite Society) mara baada ya kuhitimisha mazungumzo.

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA ASISITIZA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WALIOKO NCHINI JAPAN (DIASPORA), ALIPOKUTANA NAO KWA MAZUNGUMZO, TAREHE 19 MACHI 2023, TOKYO

Tarehe 19 Machi 2023, Mhe. Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan ijulikanayo, Tanzanite Society, kwenye Makazi ya Balozi, jijini Tokyo.…

Read More

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE WALIOKO NCHINI JAPAN

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE WALIOKO NCHINI JAPANUbalozi wa Tanzania, Tokyo unapenda kuwajulisha Watanzania wote walioko Japan kuwa Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda atakutana na kuzungumza na Watanzania wote…

Read More

MPANGO WA KUKUSANYA MAOMBI YA HATI ZA KUSAFIRIA KWA WATANZANIA WAISHIO AUSTRALIA NA NEW ZEALAND

MPANGO WA KUKUSANYA MAOMBI YA HATI ZA KUSAFIRIA KWA WATANZANIA WAISHIO AUSTRALIA NA NEW ZEALANDUbalozi wa Tanzania Tokyo, unapenda kuwajulisha kuwa muda wa kupokea maombi yenu ya Hati za kusafiria umeongezwa…

Read More
H.E. Ambassador Baraka Luvanda in a group photo with Tokushukai Medical Corporation Team and Embassy Staff

THE EMBASSY HOSTS A WORKING DINNER MEETING WITH TOKUSHUKAI MEDICAL CORPORATION TEAM, 17TH FEBRUARY 2023, AT THE AMBASSADOR’S RESIDENCE, TOKYO

The Embassy hosted a working dinner meeting with the Tokushukai Medical Corporation Team of Japan on 17th February 2023, in the run up to the 5th Anniversary of the Kidney Transplant Project in…

Read More

Talk Our Future from Africa - TOFA visits Tanzania on January 23rd to February 6th, 2023

A Japanese NGO - TOFA, visited Tanzania for the third time from January 23rd to February 6th, 2023 to support and promote educational, cultural, and environmental initiatives. They have already visited…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini New Zealand, mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao

BALOZI BARAKA LUVANDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KUNDI LA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI WA NEW ZEALAND

Tarehe 7 Februari 2023, Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na kundi la wafanyabiashara na wawekezaji wa New Zealand jijini Auckland, New Zealand. Kundi hilo lilijumuisha kampuni tano…

Read More