Speeches and Press Release Change View → Listing

EXPO 2025 IS COMING!

EXPO 2025 (2025年日本国際博覧会, 2025-nen Nippon Kokusai Hakurankai) is a highly anticipated World Expo that is set to take place in Osaka, Japan, from April 13, 2025, to October 13, 2025. This grand…

Read More

MAHOJIANO YA MHE. BARAKA LUVANDA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA JAPAN - NHK, KUHUSU MWENENDO WA SEKTA YA UTALII TANZANIA WAKATI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN 2023 (JAPAN TOURISM EXPO 2023)

Tarehe 29 Oktoba 2023, wakati wa kuhitimisha Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2023), yaliyofanyika tarehe 26 - 29 Oktoba 2023 jijini Osaka,  Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI KWA MAFANIKIO MAKUBWA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN (JAPAN TOURISM EXPO 2023) YALIYOFANYIKA TAREHE 26 – 29 OKTOBA 2023, JIJINI OSAKA, JAPAN

Tanzania imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2023), yaliyofanyika tarehe 26 - 29 Oktoba 2023 jijini Osaka, Japan.  Maonesho haya, yamekuwa…

Read More

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2023) YAMEHITIMISHWA RASMI LEO TAREHE 29 SEPTEMBA 2023, TOKYO

Leo, tarehe 29 Septemba 2023, ni siku ya tatu ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa tarehe 27 Septemba 2023 jijini Tokyo.…

Read More

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN (SCAJ 2023) IMEPAMBWA KWA SEMINA MAALUM NA ZOEZI LA UONJAJI WA KAHAWA YA TANZANIA, TAREHE 28 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 28 Septemba 2023, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa jana tarehe 27 Septemba 2023…

Read More