Mheshimiwa Anderson Mutatembwa na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna pamoja na Ujumbe wao

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MASOMO YA KIGENI CHA TOKYO (TUFS) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHUO, JIJINI TOKYO

Tarehe 19 Machi 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna, yaliyolenga…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa mara baada ya mazungumzo na Bw. Susumu Tsubaki, Afisa Mtendaji Mkuu wa AAIC Holdings Pte. Ltd., kuhusu maendeleo ya uwekezaji wa kampuni yao (TANJA) kwenye sekta ya kilimo nchini Tanzania.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA AAIC HOLDINGS PTE. LTD, KUHUSU UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA TANJA (TANZANIA AND JAPAN) KWENYE SEKTA YA KILIMO

Tarehe 18 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Bw. Susumu Tsubaki, Afisa Mtendaji Mkuu wa AAIC Holdings Pte. Ltd., kuhusu maendeleo ya uwekezaji wa kampuni yao (TANJA) iliyowekeza…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa apokea magari ya zimamoto na uokoaji yaliyotolewa msaada na Japan Firefighters Association kwa Tanzania

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA MAGARI YA ZIMAMOTO KUTOKA JAPAN FIREFIGHTERS ASSOCIATION KWA AJILI YA KUIMARISHA UWEZO WA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI

Tarehe 17 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania msaada wa magari matatu ya zimamoto na uokoaji kutoka Japan Firefighters Association. Magari…

Read More
H.E. Anderson Mutatembwa in a group photo with Mr. Kenichi Taneya, Vice Chairman of the Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA) and Director in charge of Saint Parts (Premium Auto Parts Co. Ltd).

H.E. AMBASSADOR ANDERSON MUTATEMBWA PROMOTES JAPAN–TANZANIA COOPERATION IN THE AUTOMOTIVE VALUE CHAIN

On 16th March 2026, H.E. Anderson Mutatembwa received Mr. Kenichi Taneya, Vice Chairman of the Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA) and Director in charge of Saint Parts (Premium Auto Parts…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa na mwakilishi wa Kampuni ya Chuwa Industries ya Japan, inayojishughulisha na utengenezaji wa mitambo ya kuchoma taka (incinerators), hususan ya uchakataji salama wa taka za hospitalini (medical waste)

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE WA KAMPUNI YA CHUWA INDUSTRIES YA JAPAN KUJADILI TEKNOLOJIA YA UCHOMAJI TAKA ZA HOSPITALINI

Tarehe 16 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea ujumbe kutoka Kampuni ya Chuwa Industries ya Japan, inayojishughulisha na utengenezaji wa mitambo ya kuchoma taka (incinerators), hususan kwa…

Read More
VACANCY ANNOUNCEMENT - ECONOMIC COOPERATION ADVISOR AT THE EMBASSY OF TANZANIA IN JAPAN

VACANCY ANNOUNCEMENT

VACANCY ANNOUNCEMENTPOSITION : ECONOMIC COOPERATION ADVISOR STATION  : EMBASSY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA IN JAPANThe Embassy of the United Republic of Tanzania in Japan, based in Tokyo,…

Read More
H.E. Anderson Mutatembwa in a group photo with Tanzania Delegation at FOODEX Japan 2026 in Tokyo

H.E. ANDERSON MUTATEMBWA JOINS TANZANIA DELEGATION TO SHOWCASE TANZANIA’S EXPORT POTENTIAL AT FOODEX JAPAN 2026

On 13 March 2026, H.E. Anderson Mutatembwa visited FOODEX Japan 2026 and joined the Tanzania delegation exhibiting under the United Nations Development Programme regional framework.During the visit, the…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa alipotembelea Makao Makuu ya Sekretarieti ya Japan International Association for the Industry of Urban Development, Building and Housing (JUBH) na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wake, Bw. Hiroto Izumi, jijini Tokyo.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA MAKAMPUNI YA NYUMBA NA MAKAZI LA JAPAN (JUBH) KUJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA HIYO

Tarehe 12 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea Makao Makuu ya Sekretarieti ya Japan International Association for the Industry of Urban Development, Building and Housing (JUBH) na kufanya…

Read More