BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA NCHINI JAPAN
Tarehe 12 Machi 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa alikutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika vyuo vikuu mbalimbali nchini Japan (Tanzania Students in…
Read More






