Maafisa Ubalozi, Bi. Edna Dioniz Chuku, Counsellor – Economic Affairs na Bw. Hosea Chikolongo, Mwambata Siasa na Utamaduni, kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Taasisi ya Zimamoto ya Japan, jijini Tokyo.

UBALOZI WAJADILIANA NA TAASISI YA ZIMAMOTO YA JAPAN, KUIMARISHA USHIRIKIANO WA HUDUMA ZA ZIMAMOTO KATI YA TANZANIA NA JAPAN

Tarehe 27 Februari 2026, Ubalozi ulitembelea Makao Makuu ya Taasisi ya Zimamoto ya Japan kwa lengo la kufanya mazungumzo kuishawishi Mamlaka hiyo kuendelea na mpango wake wa kutoa msaada wa magari ya zimamoto…

Read More

SEMINA KUHUSU TANZANIA KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU DARASA LA SITA SHULE YA MSINGI KOMAZAWA JIJINI TOKYO

Tarehe 26 Febuari 2026 ubalozi uliendesha Semina kuhusu Tanzania kwa wanafunzi 79 walihitimu Darasa la Sita katika Shule ya Msingi Komazawa (Komazawa Elementary School) iliyopo Tokyo.Katika Semina hiyo Afisa…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Masamichi Terabatake, Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Japan Tobacco Inc. (JT) kwenye Makao Makuu ya Kampuni hiyo, jijini Tokyo.

KAMPUNI YA JAPAN TOBACCO (JT) KUENDELEZA UBIA WA KIBIASHARA NA MIRADI YA KIJAMII NCHINI TANZANIA

Tarehe 20 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea Makao Makuu ya Japan Tobacco Inc. (JT) yaliyopo jijini Tokyo na kufanya mazungumzo na Bw. Masamichi Terabatake, Makamu Mwenyekiti wa…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa alipotembelea Kampuni ya UCC (Ueshima Coffee Company) ya Japan na kufanya mazungumzo na Bw. Ryo Satomi, Afisa Mtendaji Mkuu (Sustainability Management) wa kampuni hiyo.

UBALOZI NA KAMPUNI YA UCC WAJADILI MIKAKATI YA KUONGEZA SOKO NA USHINDANI WA KAHAWA YA TANZANIA NCHINI JAPAN

Tarehe 20 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea Kampuni ya UCC (Ueshima Coffee Company) ya Japan na kufanya mazungumzo na Bw. Ryo Satomi, Afisa Mtendaji Mkuu (Sustainability Management) wa…

Read More
Ubalozi kwenye mkutano na wataalamu wa Tokushukai Medical Group pamoja na JGC Corporation kujadili maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupandikiza Figo unaotekelezwa kwa ubia baina ya Tokushukai Hospitali ya Benjamin Mkapa na Chuo Kikuu cha Dodoma.

UBALOZI WAJADILI MAENDELEO YA MRADI WA KITUO CHA UPANDIKIZAJI FIGO NA WATAALAMU KUTOKA TAASISI YA TOKUSHUKAI NA KAMPUNI YA JGC ZA JAPAN

Tarehe 19 Februari 2026, Ubalozi ulifanya mkutano na wataalamu wa Tokushukai Medical Group pamoja na JGC Corporation kujadili maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupandikiza Figo unaotekelezwa kwa ubia…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa na Ujumbe wa wawakilishi wa Kampuni ya TERUMO ya Japan waliotembelea Ubalozi, tarehe 19 Februari 2026.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE WA TERUMO KUJADILI USHIRIKIANO WA KIMKAKATI WA SEKTA YA AFYA

Tarehe 19 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea Ujumbe wa wawakilishi wa Kampuni ya TERUMO ya Japan waliotembelea Ubalozi kwa lengo la kuendeleza majadiliano kuhusu ushirikiano wa sekta ya afya…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Uumbe wa wawakilishi kutoka ITO EN na Tully's Coffee Japan.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE WA WAWAKILISHI WA KAMPUNI ZA ITO EN NA TULLY’S, UBALOZINI TOKYO

Tarehe 19 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alipokea Ujumbe wa wawakilishi kutoka ITO EN na Tully's Coffee Japan, ulioongozwa na Bw. Osamu Aizawa, Marketing Manager wa ITO EN, pamoja na Bw.…

Read More
Ms. Edna Dioniz Chuku, Counsellor – Economic Affairs, in a photo with one of Tanzania’s experts from the Tanzania Ports Authority during the Ports and Maritime Experts Training Program in Tokyo.

THE EMBASSY PARTICIPATED IN THE OPENING OF THE PORTS AND MARITIME EXPERTS TRAINING PROGRAM ORGANISED BY JICA, IN TOKYO

On 18th February 2026, the Embassy participated in the Opening Ceremony of the Ports Experts Training Program organised by the Japan International Cooperation Agency (JICA) in collaboration with relevant ports…

Read More