Bilateral Relation Change View → Listing

Balozi Anderson Mutatembwa, alipotembelea Makao Makuu ya JGC Corporation jijini Yokohama na kuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Bw. Koji Sakurai.

UIMARISHAJI WA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPAN KATIKA SEKTA YA NISHATI KUPITIA KAMPUNI YA JGC YA JAPAN

Tarehe 6 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa, alitembelea Makao Makuu ya JGC Corporation jijini Yokohama na kuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo, Bw. Koji Sakurai. Mazungumzo hayo…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Kiwanda cha Kuchakata na Kuteketeza Taka cha Kanazawa kinachosimamiwa na Ofisi ya Jiji la Yokohama.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA TAKA CHA KANAZAWA KINACHOSIMAMIWA NA OFISI YA JIJI LA YOKOHAMA

Tarehe 6 Februari 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa alitembelea Kiwanda cha Kuchakata na Kuteketeza Taka cha Kanazawa kinachosimamiwa na Ofisi ya Jiji la Yokohama, na kujionea namna mifumo ya kisasa ya…

Read More

MHE. ANDERSON MUTATEMBWA AMTEMBELEA MEYA WA JIJI LA YOKOHAMA, MHE. TAKEHARU YAMANAKA (Phd.) NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATI YA JIJI HILO NA TANZANIA KUPITIA JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe 6 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Yokohama, Mheshimiwa Takeharu Yamanaka (Ph.D), yaliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Jiji la Yokohama na Tanzania…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA KAMPUNI YA UKAGUZI WA MAGARI YALIYOTUMIKA YA EAA COMPANY LIMITED

Tarehe 05 Febuari 2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan Anderson Mutatembwa alitembelea na kuona shughuli za kampuni ya Ukaguzi wa Magari yaliyotumika kabla ya kusafirishwa kwenda nchi mbalimbali ikiwemo…

Read More

THE OPENING CEREMONY OF JAPAN THROUGH DIPLOMATS’ EYES 2025 PHOTO EXHIBITION 2025

On 4th February 2025 the Embassy joined other Diplomatic Missions in participating at the Opening Ceremony of Japan through Diplomats’ Eyes 2025 Photo Exhibition at Yokohama Red Brick Warehouse.Her Imperial…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE KUTOKA TANZANIA ULIOWASILI JAPAN KWA AJILI YA MAFUNZO YA MASUALA YA GESI ASILIA

Tarehe 02 Febuari 2026 katika Ofisi za ubalozi Tokyo, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea ujumbe wa Wataalamu 14 kutoka Tanzania waliowasili nchini Japan kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi ya kuwajengea uwezo…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VINYAGO VYA KIMAKONDE KATIKA MJI WA TOBA JIMBO LA MIE

Tarehe 24 Januari 2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan Anderson Mutatembwa alitembelea Makumbusho ya Vinyago vya kimakonde (Makonde Art Museum) iliyopo katika mji wa Toba Jimbo la Mie nchini Japan. Makumbusho…

Read More