Bilateral Relation Change View → Listing

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA NAGAI

Tarehe 19/01/2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan alikutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Nagai lililopo Mkoa wa Yamagata nchini Japan Mheshimiwa Shigeharu Uchita.Mazungumzo yao yalijikita katika…

Read More
Mhe. Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Yoshi Nomura, Naibu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa (International Cooperation Bureau) wa KEIDANREN (Japan Business Federation).

MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI WA SHIRIKISHO LA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA JAPAN LA KEIDANREN (KEIDANREN BUSINESS FEDERATION)

Leo, tarehe 16 Januari 2026, Mhe. Anderson Mutatembwa, ametembelewa na Bw. Yoshi Nomura, Naibu Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa (International Cooperation Bureau) wa KEIDANREN (Japan Business…

Read More
Mhe. Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Dkt. Akihiko Tanaka, katika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Tokyo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA JICA, JIJINI TOKYO

Tarehe 7 Januari 2026, Mhe. Anderson Mutatembwa, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Dkt. Akihiko Tanaka, katika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha na Mhe. KAWAMURA Kenichi, Naibu Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan (MLIT) anayeshughulikia Miradi ya Kimataifa; wakiambatana na Ujumbe wao mara baada ya mazungumzo.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA ARDHI, MIUNDOMBINU, USAFIRISHAJI NA UTALII WA JAPAN

Tarehe 23 Disemba 2025, Balozi Anderson Mutatembwa amefanya mazungumzo na Mhe. KAWAMURA Kenichi, Naibu Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan (MLIT) anayeshughulikia Miradi ya…

Read More
H.E. Anderson Mutatembwa in a group photo with experts of the second round of negotiations on the Double Taxation Agreement (DTA) between the United Republic of Tanzania and Japan, held in Tokyo on 16 - 19 December 2025.

H.E. ANDERSON MUTATEMBWA GRACES TANZANIA–JAPAN DTA NEGOTIATIONS IN TOKYO

The second round of negotiations on the Double Taxation Agreement (DTA) between the United Republic of Tanzania and Japan took place from December 16 to 19, 2025, at the Ministry of Finance of Japan in Tokyo.…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki majadiliano ya Mktaba wa DTA na Japan, jijini Tokyo.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AUPOKEA UJUMBE WA WATAALAMU WA TANZANIA WANAOSHIRIKI MAJADILIANO YA DTA NA JAPAN

Tarehe 18 Disemba 2025, Balozi Anderson Mutatembwa aliupokea Ubalozini, Ujumbe wa wataalamu saba (07) kutoka Tanzania unaojumuisha wawakilishi kutoka Wizara ya Fedha; Wizara ya Fedha na Mipango – Zanzibar;…

Read More
H.E. Anderson Mutatembwa in a group photo with representatives of FUKUI Prefecture Government at the Chancery.

H.E. ANDERSON MUTATEMBWA RECEIVES FUKUI PREFECTURAL GOVERNMENT REPRESENTATIVES AT THE CHANCERY

On 18th December 2025, H.E. Ambassador Anderson Mutatembwa received a delegation of three representatives from Fukui Prefecture at the Chancery. The delegation was led by Mr. Maeda Kosaku, Vice – Director of…

Read More