Ms. Edna Dioniz Chuku, Counselor for Economic Affairs, in a photo with Tanzania participants during the final presentation of the KIZUNA Program, including two PhD candidates and one master's degree graduate, accompanied by JICA representative, at JICA HQ

THE EMBASSY PARTICIPATES IN THE JICA KIZUNA PROGRAM - FINAL PRESENTATION ON HUMAN RESOURCES DEVELOPMENT IN THE MINING SECTOR

On 27 March 2026, the Embassy participated in the Final Presentation of the Japan International Cooperation Agency Program for Human Resources Development in the Mining Sector (KIZUNA Program), during which 20…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Tokushukai Medical Corporation ya Jap, Bw. Higashiue Shinichi, wakurugenzi wa taasisi hiyo, na jopo la madaktari kutoka Tanzania.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA TAASISI YA TOKUSHUKAI YA JAPAN NA JOPO LA MADAKTARI KUTOKA TANZANIA

Tarehe 25 Machi 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa aliandaa mchapalo maalum kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Tokushukai Medical Corporation, Bw. Higashiue Shinichi, aliyembatana na…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Shirika la Taifa la Utangazaji la Japan (NHK World) alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo, jijini Tokyo

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA SHIRIKA LA TAIFA LA UTANGAZAJI LA JAPAN (NHK WORLD) NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA HABARI

Tarehe 24 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea Makao Makuu ya Shirika la Taifa la Utangazaji la Japan (NHK World) jijini Tokyo, ambapo alifanya mazungumzo na Makamu Mkurugenzi Mkuu wa shirika…

Read More

H.E. ANDERSON MUTATEMBWA HELD DISCUSSIONS ON SAMURAI BOND WITH THE CEO OF INTERCONTINENTAL TRADING COMPANY LTD. (GLOBAL FINANCE)

On 24 March 2026, H.E. Ambassador Anderson Mutatembwa received a delegation from Intercontinental Trading Company Ltd. (Global Finance), led by its Chief Executive Officer, Mr. Takahiro Hosojima.The delegation…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna pamoja na Ujumbe wao

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MASOMO YA KIGENI CHA TOKYO (TUFS) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHUO, JIJINI TOKYO

Tarehe 19 Machi 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna, yaliyolenga…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa mara baada ya mazungumzo na Bw. Susumu Tsubaki, Afisa Mtendaji Mkuu wa AAIC Holdings Pte. Ltd., kuhusu maendeleo ya uwekezaji wa kampuni yao (TANJA) kwenye sekta ya kilimo nchini Tanzania.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA AAIC HOLDINGS PTE. LTD, KUHUSU UWEKEZAJI WA KAMPUNI YA TANJA (TANZANIA AND JAPAN) KWENYE SEKTA YA KILIMO

Tarehe 18 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Bw. Susumu Tsubaki, Afisa Mtendaji Mkuu wa AAIC Holdings Pte. Ltd., kuhusu maendeleo ya uwekezaji wa kampuni yao (TANJA) iliyowekeza…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa apokea magari ya zimamoto na uokoaji yaliyotolewa msaada na Japan Firefighters Association kwa Tanzania

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA MAGARI YA ZIMAMOTO KUTOKA JAPAN FIREFIGHTERS ASSOCIATION KWA AJILI YA KUIMARISHA UWEZO WA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI

Tarehe 17 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania msaada wa magari matatu ya zimamoto na uokoaji kutoka Japan Firefighters Association. Magari…

Read More
H.E. Anderson Mutatembwa in a group photo with Mr. Kenichi Taneya, Vice Chairman of the Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA) and Director in charge of Saint Parts (Premium Auto Parts Co. Ltd).

H.E. AMBASSADOR ANDERSON MUTATEMBWA PROMOTES JAPAN–TANZANIA COOPERATION IN THE AUTOMOTIVE VALUE CHAIN

On 16th March 2026, H.E. Anderson Mutatembwa received Mr. Kenichi Taneya, Vice Chairman of the Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA) and Director in charge of Saint Parts (Premium Auto Parts…

Read More