Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa University of Tsukuba, Dkt. Kyosuke Nagata.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHUO KIKUU CHA TSUKUBA NCHINI JAPAN

Tarehe 30 Aprili 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa University of Tsukuba, Dkt. Kyosuke Nagata. Chuo hicho…

Read More
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alipofanya ziara kwenye Taasisi ya Utafiti wa Anga za Juu ya Japan, (Japan Aerospace Exploration Agency - JAXA).

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA ZIARA KWENYE TAASISI YA UTAFITI WA ANGA ZA JUU YA JAPAN (JAXA) INAYOTARAJIWA KURUSHA SATELITE YA KWANZA YA TANZANIA

Tarehe 30 Aprili 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya ziara kwenye Taasisi ya Utafiti wa Anga za Juu ya Japan, (Japan Aerospace Exploration…

Read More
Semina kuhusu Tanzania katika Chuo Kikuu cha Masomo ya Kigeni cha Tokyo - Tokyo University of Foreign Studies (TUFS), iliyotolewa na Maafisa Ubalozi

UBALOZI WATOA SEMINA KUHUSU TANZANIA KATIKA CHUO KIKUU CHA MASOMO YA KIGENI CHA TOKYO (TUFS)

Tarehe 29 Aprili 2026, Ubalozi ulipata fursa ya kutoa semina kuhusu Tanzania katika Tokyo University of Foreign Studies (TUFS), kupitia mpango wa utoaji wa semina katika vyuo vikuu mbalimbali unaoendeshwa na…

Read More
Mheshimiwa Anderson Gukwi Mutatembwa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, akielekea kuwasilisha Hati za Utambulisho (Letter of Credence) kwa Mfalme wa Japan, Naruhito, katika hafla ya kifalme iliyofanyika Ikulu ya Kifalme jijini Tokyo

HAFLA YA KUWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MHESHIMIWA ANDERSON GUKWI MUTATEMBWA KWA MFALME WA JAPAN

Ikulu ya Kifalme, Tokyo. Tarehe 28 Aprili 2026, Mheshimiwa Anderson Gukwi Mutatembwa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, aliwasilisha Hati za Utambulisho (Letter of Credence) kwa…

Read More
Maafisa Ubalozi kwenye picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Asasi ya Children Meet Countries (CMC) yenye makao makuu jijini Tokyo

UBALOZI WAPOKEA UJUMBE WA ASASI YA CMC KUJADILI USHIRIKIANO WA KUELIMISHA WANAFUNZI MASHULENI KUHUSU MASUALA YA KIMATAIFA

Tarehe 27 Aprili 2026, Ubalozi ulipokea ujumbe kutoka Children Meet Countries (CMC) yenye makao makuu jijini Tokyo. Taasisi hiyo imekuwa ikiandaa warsha na semina maalum mashuleni kwa lengo la kuwapa wanafunzi…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa akifungua Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa DIASPORA ya kuadhimisha Miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

UBALOZI WAADHIMISHA MIAKA 62 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU KWA DIASPORA - MUUNGANO CUP 2026

Tarehe 26 Aprili 2026, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan uliadhimisha miaka 62 ya Muungano kwa kuandaa mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo, MUUNGANO CUP, yaliyoshirikisha jumla ya…

Read More
The publications to commemorate the 62nd Anniversary of the Union of Tanganyika and Zanzibar, which formed the United Republic of Tanzania.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - 62ND ANNIVERSARY: NATIONAL DAY SPECIAL SUPPLEMENT IN THE JAPAN’S MAJOR INTERNATIONAL NEWSPAPERS

A Special Supplement of the United Republic of Tanzania was published on April 26, 2026 in two major international newspapers in Japan, namely the Japan Times and the Japan News. The publication was made to…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFUNGUA MAONESHO YA 17 YA TINGATINGA YALIYOFANYIKA JIJINI YOKOHAMA

Tarehe 25 Aprili 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifungua maonesho ya 17 ya Tingatinga ya Kampuni ya Baraka ambayo hufanyika kila mwaka katika ukumbi wa Gallery Paris Jijini Yokohama nchini Japan.Katika…

Read More