Speeches and Press Release Change View → Listing

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFUNGUA MAONESHO YA 17 YA TINGATINGA YALIYOFANYIKA JIJINI YOKOHAMA

Tarehe 25 Aprili 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifungua maonesho ya 17 ya Tingatinga ya Kampuni ya Baraka ambayo hufanyika kila mwaka katika ukumbi wa Gallery Paris Jijini Yokohama nchini Japan.Katika…

Read More

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN KWA MWAKA 2027 (JAPANESE GOVERNMENT – MEXT SCHOLARSHIP PROGRAM 2027)

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN KWA MWAKA 2027(JAPANESE GOVERNMENT – MEXT SCHOLARSHIP PROGRAM 2027)Ubalozi umepokea taarifa ya fursa za ufadhili wa masomo nchini Japan inayotolewa na Serikali ya…

Read More

ZANZIBAR INVESTMENT SUMMIT 2026 - SHAPING ZANZIBAR’S NEXT GROWTH STORY

The Zanzibar Investment Summit 2026 (ZIS 2026) is Zanzibar’s flagship investment forum, organized by the Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA), bringing together global investors, policymakers, and…

Read More
Maafisa Ubalozi kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA)

JAPAN INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY YAMTAMBULISHA MSHAURI WA UTALII ZANZIBAR (JICA TOURISM ADVISOR)

Tarehe 15 Aprili 2026, Ubalozi ulipokea Ujumbe kutoka Japan International Cooperation Agency (JICA) kwa lengo la kumtambulisha Bi. Kana Matsuzaki, Afisa Mshauri wa JICA wa masuala ya utalii endelevu ambaye…

Read More
The Embassy staff in a group photo with representatives of AMDA International Medical Information Center.

THE EMBASSY ENGAGES ASSOCIATION OF MEDICAL DOCTORS OF ASIA (AMDA) ON HEALTHCARE SUPPORT SERVICES

On 2 April 2026, the Embassy held a meeting with representatives of AMDA International Medical Information Center. The discussions focused on the organization’s work in providing free medical consultation,…

Read More
H.E. Ambassador Anderson Mutatembwa in a group photo with representatives of Fujita Corporation at the Chancery. Accompanying Ambassador are Ms. Edna Dioniz Chuku and Mr. Hosea Chikolongo.

FOLLOW-UP DISCUSSIONS WITH FUJITA CORPORATION ON TANZANIA’S REAL ESTATE AND INFRASTRUCTURE OPPORTUNITIES

On 31 March 2026, the Embassy held a meeting at the Chancery with representatives of Fujita Corporation, a Japanese company specializing in construction, housing, and urban development. Discussions focused on…

Read More
Ambassador Anderson Mutatembwa with Vice President of SOKA University, Professor Akio Nishiura. Accompanied by their respective staff.

AMBASSADOR MUTATEMBWA VISITS SOKA UNIVERSITY TO STRENGTHEN ACADEMIC COOPERATION

On 30 March 2026, Ambassador Anderson Mutatembwa visited Soka University, where he held discussions with Vice President Professor Akio Nishiura. The purpose of the meeting was to strengthen existing…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Wajapani waliojitolea nchini Tanzania (Japan Overseas Cooperation Volunteers - JOCV), tarehe 29 Machi 2026.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AKUTANA NA JUMUIYA YA WAJITOLEA WA JAPAN NCHINI TANZANIA (JAPAN OVERSEAS COOPERATION VOLUNTEERS – JOCV)

Tarehe 29 Machi 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Wajapani waliojitolea nchini Tanzania (Japan Overseas Cooperation Volunteers - JOCV). Jumuiya hiyo…

Read More