Speeches and Press Release Change View → Listing

Tanzania participates at KIZUNA 2026 Spring Program - Presentation Session organised by the Japan International Cooperation Agency at its Headquarters in Tokyo

TANZANIAN STUDENT PRESENTS SUSTAINABLE MINING SOLUTIONS AT JICA KIZUNA 2026 FORUM - PROGRAM PRESENTATION

On 2nd March 2026, the Embassy participated in the KIZUNA Spring Program Presentation Session organised by the Japan International Cooperation Agency at its Headquarters in Tokyo.One of the presenters was a…

Read More

SEMINA KUHUSU TANZANIA KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU DARASA LA SITA SHULE YA MSINGI KOMAZAWA JIJINI TOKYO

Tarehe 26 Febuari 2026 ubalozi uliendesha Semina kuhusu Tanzania kwa wanafunzi 79 walihitimu Darasa la Sita katika Shule ya Msingi Komazawa (Komazawa Elementary School) iliyopo Tokyo.Katika Semina hiyo Afisa…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye hafla ya kufunga Mpango wa Mafunzo ya Ufundi Viwandani ulioandaliwa na UNIDO ITPO Tokyo kwa ufadhili wa Serikali ya Japan kupitia Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda (METI).

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ASHIRIKI HAFLA YA KUFUNGA MPANGO WA MAFUNZO YA UFUNDI VIWANDANI (INDUSTRIAL VOCATIONAL TRAINING PROGRAM) KWA BARA LA AFRIKA NA ASIA

Tarehe 18 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alishiriki hafla ya kufunga Mpango wa Mafunzo ya Ufundi Viwandani ulioandaliwa na UNIDO ITPO Tokyo kwa ufadhili wa Serikali ya Japan kupitia Wizara ya…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TOKUSHUKAI Medical Group, Bw. Higashiue Shinichi, na wawakilishi wengine wa TOKUSHUKAI

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA TAASISI YA TOKUSHUKAI YA JAPAN KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA UPANDIKIZAJI FIGO NA VIUNGO NCHINI

Tarehe 13 Februari 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tokushukai Medical Group, Bw. Higashiue Shinichi, yaliyojikita katika kuendeleza na…

Read More

TRAVEL TANZANIA WITH CONFIDENCE AND PEACE OF MIND

Your safety is our top priority. The Tanzania Tourism Sector Safety and Protection (TTSSP) is dedicated to ensuring you have a secure, world-class experience while exploring our beautiful country.Before you…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Japan kwa majadiliano ya Mkataba wa Uwekezaji (Bilateral Investment Treaty – BIT) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA UJUMBE WA TANZANIA WA MAJADILIANO YA MKATABA WA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA JAPAN

Tarehe 11 Februari 2026, Balozi Anderson Mutatembwa amepokea Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Japan kwa majadiliano ya Mkataba wa Uwekezaji (Bilateral Investment Treaty – BIT) kati ya Jamhuri ya Muungano wa…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Wizara ya Sheria ya Japan

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUMGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA YA WIZARA YA SHERIA YA JAPAN

Tarehe 10 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUMGUMZO NA MWENYEKITI WA TAASISI YA NIPPON (NIPPON FOUNDATION), BW. YOEI SASAKAWA KWENYE MAKAO MAKUU YA TAASISI HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 9 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Nippon, Bw. Yohei Sasakawa. Taasisi…

Read More