Speeches and Press Release Change View → Listing

Maafisa Ubalozi kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA)

JAPAN INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY YAMTAMBULISHA MSHAURI WA UTALII ZANZIBAR (JICA TOURISM ADVISOR)

Tarehe 15 Aprili 2026, Ubalozi ulipokea Ujumbe kutoka Japan International Cooperation Agency (JICA) kwa lengo la kumtambulisha Bi. Kana Matsuzaki, Afisa Mshauri wa JICA wa masuala ya utalii endelevu ambaye…

Read More
The Embassy staff in a group photo with representatives of AMDA International Medical Information Center.

THE EMBASSY ENGAGES ASSOCIATION OF MEDICAL DOCTORS OF ASIA (AMDA) ON HEALTHCARE SUPPORT SERVICES

On 2 April 2026, the Embassy held a meeting with representatives of AMDA International Medical Information Center. The discussions focused on the organization’s work in providing free medical consultation,…

Read More
H.E. Ambassador Anderson Mutatembwa in a group photo with representatives of Fujita Corporation at the Chancery. Accompanying Ambassador are Ms. Edna Dioniz Chuku and Mr. Hosea Chikolongo.

FOLLOW-UP DISCUSSIONS WITH FUJITA CORPORATION ON TANZANIA’S REAL ESTATE AND INFRASTRUCTURE OPPORTUNITIES

On 31 March 2026, the Embassy held a meeting at the Chancery with representatives of Fujita Corporation, a Japanese company specializing in construction, housing, and urban development. Discussions focused on…

Read More
Ambassador Anderson Mutatembwa with Vice President of SOKA University, Professor Akio Nishiura. Accompanied by their respective staff.

AMBASSADOR MUTATEMBWA VISITS SOKA UNIVERSITY TO STRENGTHEN ACADEMIC COOPERATION

On 30 March 2026, Ambassador Anderson Mutatembwa visited Soka University, where he held discussions with Vice President Professor Akio Nishiura. The purpose of the meeting was to strengthen existing…

Read More
Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Wajapani waliojitolea nchini Tanzania (Japan Overseas Cooperation Volunteers - JOCV), tarehe 29 Machi 2026.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AKUTANA NA JUMUIYA YA WAJITOLEA WA JAPAN NCHINI TANZANIA (JAPAN OVERSEAS COOPERATION VOLUNTEERS – JOCV)

Tarehe 29 Machi 2026, Mheshimiwa Balozi Anderson Mutatembwa alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Wajapani waliojitolea nchini Tanzania (Japan Overseas Cooperation Volunteers - JOCV). Jumuiya hiyo…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Shirika la Taifa la Utangazaji la Japan (NHK World) alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo, jijini Tokyo

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA SHIRIKA LA TAIFA LA UTANGAZAJI LA JAPAN (NHK WORLD) NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA HABARI

Tarehe 24 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alitembelea Makao Makuu ya Shirika la Taifa la Utangazaji la Japan (NHK World) jijini Tokyo, ambapo alifanya mazungumzo na Makamu Mkurugenzi Mkuu wa shirika…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna pamoja na Ujumbe wao

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MASOMO YA KIGENI CHA TOKYO (TUFS) NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHUO, JIJINI TOKYO

Tarehe 19 Machi 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alifanya mazungumzo na Rais wa Chuo Kikuu cha  Tokyo cha Masomo ya Kigeni (University of Foreign Studies -TUFS), Profesa Nobou Haruna, yaliyolenga…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa apokea magari ya zimamoto na uokoaji yaliyotolewa msaada na Japan Firefighters Association kwa Tanzania

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA MAGARI YA ZIMAMOTO KUTOKA JAPAN FIREFIGHTERS ASSOCIATION KWA AJILI YA KUIMARISHA UWEZO WA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI

Tarehe 17 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania msaada wa magari matatu ya zimamoto na uokoaji kutoka Japan Firefighters Association. Magari…

Read More