Bilateral Relation Change View → Listing

STRENGTHENING HEALTH SECTOR PARTNERSHIPS BETWEEN TANZANIA AND JAPAN: A VISIT TO TERUMO CORPORATION’S MEDICAL PRANEX FACILITY IN KANAGAWA, JAPAN

On 2nd July 2025, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda visited Terumo Corporation’s Medical Pranex facility in Kanagawa, Japan as part of the Embassy's efforts to strengthen public-private partnerships…

Read More

TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA SEKTA YA AFYA KUPITIA MPANGO WA AfHWIN KUELEKEA TICAD 9

Leo, tarehe 1 Julai 2025, Mhe. Balozi Baraka Luvanda amepokea Ujumbe kutoka Ofisi ya Sera ya Afya (Healthcare Policy) ya Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri la Serikali ya Japan. Lengo la ujio wa Ujumbe huo ni…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA ATEMBELEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA TIBA YA MIFUPA, UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU MUHIMBILI (MOI), BALOZI DKT. MPOKI ULISUBISYA

Tarehe 30 Juni 2025, Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda ametembelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya.Katika…

Read More

TIMU YA TANZANIA YA SOFTBALL YA WANAWAKE CHINI YA MIAKA 18 YASHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KOMBE LA UTSUGI 2025 KATIKA MJI WA TAKASAKI NCHINI JAPAN

Tarehe 28 – 29 Juni, 2025 Timu ya wanawake ya Tanzania ya Softball chini ya miaka 18 ilishiriki Mashindano ya Kimataifa ya Kombe la Utsugi “Utsugi Cup International Women’s U-18 Softball Tournament…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA ATEMBELEWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) WALIONUFAIKA NA MAFUNZO YA KIUFUNDI JAPAN KUPITIA JICA

Leo, tarehe 27 Juni 2025, Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda ametembelewa na wanafunzi sita kutoka Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) waliokuwa nchini Japan kwa ziara ya mafunzo ya wiki mbili,…

Read More

YAMAGATA NEWSPAPER ARTICLE ABOUT TANZANIAN VOCATIONAL TRAINING SCHOOL EXPERIENCE CLASSES AT NAGAI TECHNICAL HIGH SCHOOL

(Translation)Enthusiastic About Drafting PracticeStudents from a Tanzanian Vocational Training School Experience Classes at Nagai Technical High SchoolStudents from a vocational training school in Dar es…

Read More
His Excellency Ambassador Baraka Luvanda in an exclusive interview with Mr. Shigeru Seno of NIKKEI Media regarding Tanzania’s expectations ahead of the TICAD 9 Summit.

H.E. AMBASSADOR BARAKA LUVANDA SHARES VISION FOR TICAD 9 AND BEYOND IN INTERVIEW WITH NIKKEI MEDIA OF JAPAN

On 23 June 2025, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda had an exclusive interview with Mr. Shigeru Seno of NIKKEI Media, one of Japan’s leading business publications. They discussed Tanzania’s…

Read More

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - 61ST ANNIVERSARY: NATIONAL DAY SPECIAL SUPPLEMENT IN THE JAPAN’S MAJOR INTERNATIONAL NEWSPAPERS

A Special Supplement of the United Republic of Tanzania was published on April 26, 2025 in two major international newspapers in Japan, namely the Japan Times and the Japan News. The publication was made to…

Read More