TIMU YA JUDO KUTOKA ZANZIBAR YAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA NA TIMU YA JUDO YA MJI WA NAGAI NCHINI JAPAN
Tarehe 19 Navemba, 2023 timu ya wacheza Judo watano (5) kutoka Zanzibar ilishiriki mazoezi ya pamoja ya Judo na timu ya wacheza Judo ishirini na nne (24) wa mji wa Nagai wakiwemo wachezaji wa kimataifa na…
Read More






