WANAFUNZI WA KITANZANIA CHUO KIKUU CHA AKITA JAPAN WASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA TAMASHA LA KIMATAIFA LA AKITA
Tarehe 03 Septemba, 2023 katika ukumbi wa Stesheni Akita nchini Japan Wanafunzi wa Kitanzania kwa kushirikiana na Ubalozi walishiriki maonesho ya Tamasha la Kimataifa la Akita yaliyoandaliwa na Mamlaka za mji…
Read More






