Exhibitions and Fairs Change View → Listing

MAHOJIANO YA MHE. BARAKA LUVANDA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA JAPAN - NHK, KUHUSU MWENENDO WA SEKTA YA UTALII TANZANIA WAKATI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN 2023 (JAPAN TOURISM EXPO 2023)

Tarehe 29 Oktoba 2023, wakati wa kuhitimisha Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2023), yaliyofanyika tarehe 26 - 29 Oktoba 2023 jijini Osaka,  Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI KWA MAFANIKIO MAKUBWA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN (JAPAN TOURISM EXPO 2023) YALIYOFANYIKA TAREHE 26 – 29 OKTOBA 2023, JIJINI OSAKA, JAPAN

Tanzania imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2023), yaliyofanyika tarehe 26 - 29 Oktoba 2023 jijini Osaka, Japan.  Maonesho haya, yamekuwa…

Read More

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA ATTENDS THE JAPAN-TANZANIA FRIENDSHIP PARTY IN KYOTO, 28th OCTOBER 2023

28 October 2023, H.E. Ambassador Baraka Luvanda, accompanied by Mr. Greyson Ishengoma, Counsellor and Mr. Kazuma Shirai, Senior Administrative form the Embassy attended a destination promotion event in Kyoto…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA ATEMBELEA OFISI ZA KAMPUNI YA BARAKA ILIYOPO JIJINI OSAKA, INAYOMILIKIWA NA BW. NA BIBI. SHIMAOKA, WAJAPANI WENYE MAKAZI ZANZIBAR

Tarehe 27 Oktoba 2023, Balozi Baraka Luvanda alitembelea Ofisi za Kampuni ya Baraka iliyopo Osaka, inayomilikiwa na Bw. na Bibi. Tsuyoshi Shimaoka, wajapani wenye makazi na biashara, Zanzibar kwa zaidi ya…

Read More

TANZANIA WILL PARTICIPATE IN THE JAPAN TOURISM EXPO 2023, SCHEDULED FOR OCTOBER 26 - 29, 2023 AT INTEX OSAKA, IN OSAKA, JAPAN

We are excited to share that Tanzania will be participating in the Japan Tourism Expo 2023, scheduled for October 26-29, 2023, at Intex Osaka in Osaka, Japan. We cordially invite you to visit our booth, Stand…

Read More

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2023) YAMEHITIMISHWA RASMI LEO TAREHE 29 SEPTEMBA 2023, TOKYO

Leo, tarehe 29 Septemba 2023, ni siku ya tatu ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa tarehe 27 Septemba 2023 jijini Tokyo.…

Read More