Exhibitions and Fairs Change View → Listing

Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Bodi ya Kahawa Tanzania na taasisi za Tanzania zinazohusika na kahawa, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan 2022, jijini Tokyo

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (JAPAN SPECIALTY COFFEE CONFERENCE & EXHIBITION - SCAJ 2022) KWA MAFANIKIO MAKUBWA, TAREHE 12 - 14 OKTOBA 2022 TOKYO, JAPAN

Tanzania imeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan yanayojulikana 2022 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition yaliyoanza tarehe 12 Oktoba 2022 na kuhitimishwa tarehe 14 Oktoba 2022…

Read More

TANZANIA WILL PARTICIPATE IN THE SCAJ WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION 2022 (SCAJ2022) FROM 12 TO 14 OCTOBER 2022 IN TOKYO

Tanzania will participate in this year’s SCAJ SPECIALTY COFFEE CONFERENCE & EXHIBITION from 12th -14th October 2022 at Tokyo Big Sight West Hall in Tokyo, Japan. The SCAJ is a coffee-focused event…

Read More

THE EMBASSY PARTICIPATES IN THE “GLOBAL FESTA JAPAN 2022” FROM 1ST TO 2ND OCTOBER, 2022 IN TOKYO

The Embassy participated in “Global Festa Japan 2022" held from 1st -2nd October 2022 at Tokyo International Forum in Tokyo. This is one of Japan's largest international cooperation events to deepen…

Read More
Mhe. Balozi Baraka H. Luvanda kwenye picha na wawakilishi wa Taasisi za Utalii za Tanzania pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yaliyofanyika Tokyo

KUHITIMISHWA KWA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN (JAPAN TOURISM EXPO 2022) YALIYOFANYIKA TAREHE 22 - 25 SEPTEMBA 2022 TOKYO, JAPAN

Tanzania imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2022), yaliyoanza tarehe 22 Septemba 2022 na kuhitimishwa tarehe 25 Septemba 2022, Tokyo, Japan.…

Read More

TANZANIA YAZINDUA FILAMU YA “THE ROYAL TOUR” ILIYOTAFSIRIWA KIJAPAN WAKATI WA UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN 2022 (JAPAN TOURISM EXPO 2022)

Leo tarehe 22 Septemba 2022, Tanzania imezindua rasmi filamu ya The Royal Tour iliyotafsiriwa Kijapan wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yajulikanayo kama Japan Tourism Expo.…

Read More

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA WILL PARTICIPATE IN THE “TOURISM EXPO JAPAN 2022” TO BE HELD ON 22ND - 25TH SEPTEMBER 2022 IN TOKYO

The United Republic of Tanzania will take part in this year's TOURISM EXPO JAPAN Edition which will run from 22nd September until 25 September 2022 at the Tokyo Big Sight in Tokyo, Japan. During the Expo,…

Read More

THE 6TH EDITION OF SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE); 21ST – 23RD OCTOBER, 2022; DAR ES SALAAM, TANZANIA

THE 6TH EDITION OF SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE)21ST – 23RD OCTOBER 2022DAR ES SALAAM | TANZANIAThe 6th Edition of Swahili international Tourism Expo (S!TE) will be held in Tanzania's commercial…

Read More