Exhibitions and Fairs Change View → Listing

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2023) YAMEHITIMISHWA RASMI LEO TAREHE 29 SEPTEMBA 2023, TOKYO

Leo, tarehe 29 Septemba 2023, ni siku ya tatu ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa tarehe 27 Septemba 2023 jijini Tokyo.…

Read More

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN (SCAJ 2023) IMEPAMBWA KWA SEMINA MAALUM NA ZOEZI LA UONJAJI WA KAHAWA YA TANZANIA, TAREHE 28 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 28 Septemba 2023, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa jana tarehe 27 Septemba 2023…

Read More
Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Bodi ya Kahawa Tanzania na taasisi za Tanzania zinazohusika na kahawa, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan 2023 (SCAJ 2023), jijini Tokyo

TANZANIA YASHIRIKI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN, YALIYOFUNGULIWA RASMI LEO TAREHE 27 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 27 Septemba 2023, Mheshimiwa Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan ameungana na mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali wa nchi zinazozalisha kahawa duniani, kwenye hafla ya ufunguzi wa…

Read More

2023 WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION (SCAJ 2023) - LIST OF TANZANIA COFFEE PRODUCERS AND EXPORTERS

We are excited to inform you that Tanzania will participate in this year's WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION (SCAJ 2023) from September 27 to 29, 2023 at Tokyo Big Sight Hall in Tokyo. We would…

Read More

TANZANIA WILL TAKE PART IN THE SCAJ WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION 2023 (SCAJ 2023) IN TOKYO FROM SEPTEMBER 27 TO SEPTEMBER 29, 2023

Tanzania is pleased to announce its participation in the upcoming SCAJ Specialty Coffee Conference & Exhibition, taking place from September 27th to 29th, 2023 at the Tokyo Big Sight West Hall in Tokyo,…

Read More

WANAFUNZI WA KITANZANIA CHUO KIKUU CHA AKITA JAPAN WASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA TAMASHA LA KIMATAIFA LA AKITA

Tarehe 03 Septemba, 2023 katika ukumbi wa Stesheni Akita nchini Japan Wanafunzi wa Kitanzania kwa kushirikiana na Ubalozi walishiriki maonesho ya Tamasha la Kimataifa la Akita yaliyoandaliwa na Mamlaka za mji…

Read More