WAZIRI MKUU, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kushuhudia uwekaji saini Mkataba kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Kampuni ya Tumbaku Japan (JT Group), utakayoiwezesha kampuni hiyo kuendelea kutoa huduma za kijamii katika maeneo inayonunua zao hilo nchini

UWEKAJI SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA KAMPUNI YA TUMBAKU YA JAPAN (JAPAN TOBACCO – JT)

Ubalozi uliratibu na kufanikisha kukamilika kwa uwekaji saini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) baina ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Tumbaku ya Japan (Japan Tobacco – JT), uliofanyika tarehe 12…

Read More

Tanzania well represented at 21st Africa-Down Under-ADU Conference in Perth, Australia

Speech for Minister of Minerals at 21st Africa Down Under Conference, AustraliaDelivered on Behalf of Minister of Minerals by Dr. Abdul Rahaman Mwanga Commissioner for Minerals Thank you for that kind of…

Read More

WANAFUNZI WA KITANZANIA CHUO KIKUU CHA AKITA JAPAN WASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA TAMASHA LA KIMATAIFA LA AKITA

Tarehe 03 Septemba, 2023 katika ukumbi wa Stesheni Akita nchini Japan Wanafunzi wa Kitanzania kwa kushirikiana na Ubalozi walishiriki maonesho ya Tamasha la Kimataifa la Akita yaliyoandaliwa na Mamlaka za mji…

Read More
Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Kampuni ya ITOCHU ya Japan, walipotembelea Ubalozi tarehe 31 Agosti 2023

MKUTANO NA WAWAKILISHI WA KAMPUNI YA ITOCHU YA JAPAN

Tarehe 31 Agosti 2023, Ubalozi ulitembelewa na Ujumbe kutoka Kampuni ya ITOCHU ya Japan, miongoni mwa kampuni kubwa zinazojishughulisha na biashara ya vyakula na vinywaji nchini Japan. Ujumbe huo uliongozwa na…

Read More

TANZANITE SOCIETY IN JAPAN

"Unity is strength" is a Kiswahili proverb that emphasizes the importance of coming together to achieve common goals, promote overall development, and overcome weaknesses. It stands in contrast to the notion…

Read More
The Embassy's officials, Mr. Greyson Ishengoma, Counselor; Ms. Edna Dioniz Chuku, First Secretary - Economic Affairs and Mr. Hosea Chikolongo, Political and Cultural Attaché in a group photo with JICA staff in charge of Tanzania, at JICA HQ in Tokyo

THE EMBASSY PAYS A COURTESY VISIT TO THE JICA HEADQUARTERS IN TOKYO, ON AUGUST 29, 2023

On August 29, 2023, the Embassy met with JICA officials in charge of Tanzania operations at the JICA Headquarters in Tokyo. The meeting introduced the new JICA team responsible for Tanzania affairs. The team…

Read More
Balozi Luvanda kwenye picha na Mabalozi wa Nchi za Afrika na Naibu Katibu Mkuu wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa-UNDP na Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika, Bi. Ahuna Eziakonwa, siku moja kabla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya TICAD, jijini Tokyo

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA ASHIRIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA TICAD YALIYOFANYIKA JIJINI TOKYO, TAREHE 26 AGOSTI 2023

Tarehe 26 Agosti 2023, Balozi Baraka Luvanda aliungana na Mabalozi wengine wa Nchi za Afrika zenye uwakilishi nchini Japan katika Hafla ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya Jukwaa la Kimataifa la Tokyo la Kujadili…

Read More

COURTESY CALL BY H.E. AMB. ERNEST RWAMUCYO, AMBASSADOR OF RWANDA -22nd AUGUST 2023

H.E. Ambassador Baraka Luvanda received on Tuesday 22nd August 2023 H.E. Amb. Ernest Rwamucyo, Ambassador of Rwanda to Japan.The two Ambassadors exchanged ideas on bilateral matters of mutual interest. …

Read More