The publications to commemorate the 62nd Anniversary of the Union of Tanganyika and Zanzibar, which formed the United Republic of Tanzania.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - 62ND ANNIVERSARY: NATIONAL DAY SPECIAL SUPPLEMENT IN THE JAPAN’S MAJOR INTERNATIONAL NEWSPAPERS

A Special Supplement of the United Republic of Tanzania was published on April 26, 2026 in two major international newspapers in Japan, namely the Japan Times and the Japan News. The publication was made to…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFUNGUA MAONESHO YA 17 YA TINGATINGA YALIYOFANYIKA JIJINI YOKOHAMA

Tarehe 25 Aprili 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifungua maonesho ya 17 ya Tingatinga ya Kampuni ya Baraka ambayo hufanyika kila mwaka katika ukumbi wa Gallery Paris Jijini Yokohama nchini Japan.Katika…

Read More

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN KWA MWAKA 2027 (JAPANESE GOVERNMENT – MEXT SCHOLARSHIP PROGRAM 2027)

FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI JAPAN KWA MWAKA 2027(JAPANESE GOVERNMENT – MEXT SCHOLARSHIP PROGRAM 2027)Ubalozi umepokea taarifa ya fursa za ufadhili wa masomo nchini Japan inayotolewa na Serikali ya…

Read More

ZANZIBAR INVESTMENT SUMMIT 2026 - SHAPING ZANZIBAR’S NEXT GROWTH STORY

The Zanzibar Investment Summit 2026 (ZIS 2026) is Zanzibar’s flagship investment forum, organized by the Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA), bringing together global investors, policymakers, and…

Read More
Maafisa Ubalozi kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa wawakilishi watatu kutoka Yokohama, ulioongozwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa jiji hilo

UBALOZI WAPOKEA MKURUGENZI WA JIJI LA YOKOHAMA NA UJUMBE WAKE KUJADILI USHIRIKIANO NA JIJI LA DAR ES SALAAM

Tarehe 22 Aprili 2026, Ubalozi ulipokea ujumbe wa wawakilishi watatu kutoka Yokohama, ulioongozwa na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa wa jiji hilo, Bi. Maruyama Akiko. Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa alipofanya ziara katika Chuo Kikuu cha Sophia kilichopo Tokyo na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa chuo hicho, Profesa Mariko Iijima.

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA ZIARA CHUO KIKUU CHA SOPHIA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA CHUO HICHO

Tarehe 21 Aprili 2026, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa alifanya ziara katika Sophia University kilichopo Tokyo, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa chuo hicho, Profesa Mariko…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wanaosoma Tokyo University of Agriculture (Tokyo NODAI)

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHUO KIKUU CHA KILIMO TOKYO (TOKYO NODAI)

Tarehe 20 Aprili 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifanya mazungumzo na Rais wa Tokyo University of Agriculture (Tokyo NODAI), Dkt. Fumio Eguchi, wakati wa ziara yake ya kikazi katika chuo hicho.Katika…

Read More
Maonesho ya AWAAJ (Association of Wives of African and Arabs Ambassadors in Japan) yanayoandaliwa na wenza wa Mabalozi wa nchi za Afrika zenye uwakilishi nchini Japan

TANZANIA YATANGAZWA KUPITIA MAONESHO YA AWAAJ (ASSOCIATION OF WIVES OF AFRICAN AND ARABS AMBASSADORS IN JAPAN)

Tarehe 17 Aprili 2026, Ubalozi ulishiriki katika Maonesho ya AWAAJ (Association of Wives of African and Arabs Ambassadors in Japan) yanayoandaliwa na wenza wa Mabalozi wa nchi za Afrika zenye uwakilishi nchini…

Read More