Balozi Luvanda kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Japan “Tanzanian Students Association in Japan – TSJ”

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA JAPAN, UBALOZINI TOKYO, TAREHE 20 MACHI 2023

Tarehe 20 Machi 2023, Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Japan “Tanzanian Students Association in Japan – TSJ”. …

Read More
Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan (Tanzanite Society) mara baada ya kuhitimisha mazungumzo.

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA ASISITIZA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WALIOKO NCHINI JAPAN (DIASPORA), ALIPOKUTANA NAO KWA MAZUNGUMZO, TAREHE 19 MACHI 2023, TOKYO

Tarehe 19 Machi 2023, Mhe. Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan ijulikanayo, Tanzanite Society, kwenye Makazi ya Balozi, jijini Tokyo.…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na Mabalozi na Wawakilishi wa Balozi za Nchi za Afrika zenye uwakilishi nchini Japan, walioshiriki kwenye Tamasha la

USHIRIKI WA UBALOZI KWENYE TAMASHA LA “AFRICAN CHARITY BAZAAR”

Tarehe 18 Machi 2023, Ubalozi ulishiriki kwenye Tamasha la Hisani lililoandaliwa na Wenza wa Mabalozi wa Nchi za Afrika zenye Uwakilishi nchini Japan (Association of Wives of African Ambassadors in Japan -…

Read More

TANZANIA INVESTMENT CENTRE: MONTHLY INVESTMENT BULLETIN - FEBRUARY 2023

The Embassy is pleased to share with you the Investment Bulletin for February 2023 issued by Tanzania Investment Centre (TIC). The information herein will facilitate your investment interest, prioritization,…

Read More

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE WALIOKO NCHINI JAPAN

TAARIFA KWA WATANZANIA WOTE WALIOKO NCHINI JAPANUbalozi wa Tanzania, Tokyo unapenda kuwajulisha Watanzania wote walioko Japan kuwa Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda atakutana na kuzungumza na Watanzania wote…

Read More

MPANGO WA KUKUSANYA MAOMBI YA HATI ZA KUSAFIRIA KWA WATANZANIA WAISHIO AUSTRALIA NA NEW ZEALAND

MPANGO WA KUKUSANYA MAOMBI YA HATI ZA KUSAFIRIA KWA WATANZANIA WAISHIO AUSTRALIA NA NEW ZEALANDUbalozi wa Tanzania Tokyo, unapenda kuwajulisha kuwa muda wa kupokea maombi yenu ya Hati za kusafiria umeongezwa…

Read More

MWANARIADHA ALPHONCE FELIX SIMBU KUTOKA TANZANIA, AIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA MASHINDANO YA “OSAKA MARATHON 2023”

Tarehe 26 Februari 2023, mwanariadha kutoka Tanzania, Bw. Alphonce Felix Simbu alishiriki kwenye Mashindano ya Osaka Marathon 2023 yaliyofanyika jijini Osaka, Japan. Mashindano hayo yaliandaliwa na Jiji la…

Read More