MWANARIADHA ALPHONCE FELIX SIMBU KUTOKA TANZANIA, AIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA MASHINDANO YA “OSAKA MARATHON 2023”
Tarehe 26 Februari 2023, mwanariadha kutoka Tanzania, Bw. Alphonce Felix Simbu alishiriki kwenye Mashindano ya Osaka Marathon 2023 yaliyofanyika jijini Osaka, Japan. Mashindano hayo yaliandaliwa na Jiji la…
Read More






