MHESHIMIWA BALOZI BARAKA H. LUVANDA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA GAVANA MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA YA AUSTRALIA, MHESHIMIWA DAVID JOHN HURLEY
Tarehe 28 Machi 2023 saa 5:00 asubuhi, Balozi Baraka Luvanda akiambatana na Bw. Greyson Ishengoma, Afisa Ubalozi amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Jumuiya ya Madola ya Australia, Mheshimiwa…
Read More






