Publications and Reports Change View → Listing

The publications to commemorate the 62nd Anniversary of the Union of Tanganyika and Zanzibar, which formed the United Republic of Tanzania.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - 62ND ANNIVERSARY: NATIONAL DAY SPECIAL SUPPLEMENT IN THE JAPAN’S MAJOR INTERNATIONAL NEWSPAPERS

A Special Supplement of the United Republic of Tanzania was published on April 26, 2026 in two major international newspapers in Japan, namely the Japan Times and the Japan News. The publication was made to…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFUNGUA MAONESHO YA 17 YA TINGATINGA YALIYOFANYIKA JIJINI YOKOHAMA

Tarehe 25 Aprili 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alifungua maonesho ya 17 ya Tingatinga ya Kampuni ya Baraka ambayo hufanyika kila mwaka katika ukumbi wa Gallery Paris Jijini Yokohama nchini Japan.Katika…

Read More

ZANZIBAR INVESTMENT SUMMIT 2026 - SHAPING ZANZIBAR’S NEXT GROWTH STORY

The Zanzibar Investment Summit 2026 (ZIS 2026) is Zanzibar’s flagship investment forum, organized by the Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA), bringing together global investors, policymakers, and…

Read More
Balozi Anderson Mutatembwa apokea magari ya zimamoto na uokoaji yaliyotolewa msaada na Japan Firefighters Association kwa Tanzania

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA APOKEA MAGARI YA ZIMAMOTO KUTOKA JAPAN FIREFIGHTERS ASSOCIATION KWA AJILI YA KUIMARISHA UWEZO WA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI

Tarehe 17 Machi 2026, Balozi Anderson Mutatembwa alipokea kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania msaada wa magari matatu ya zimamoto na uokoaji kutoka Japan Firefighters Association. Magari…

Read More

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AANDAA IFTAR KWA WATANZANIA WAISHIO JAPAN

Tarehe 08 Machi, 2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan aliandaa iftar kwa Diaspora wa Tanzania waishio Japan kufuatia mfungo wa Ramadhan unaoendelea.Akiwakaribisha watanzania hao ubalozini kwa ajili ya kufuturu…

Read More

SEMINA KUHUSU TANZANIA KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU DARASA LA SITA SHULE YA MSINGI KOMAZAWA JIJINI TOKYO

Tarehe 26 Febuari 2026 ubalozi uliendesha Semina kuhusu Tanzania kwa wanafunzi 79 walihitimu Darasa la Sita katika Shule ya Msingi Komazawa (Komazawa Elementary School) iliyopo Tokyo.Katika Semina hiyo Afisa…

Read More

TRAVEL TANZANIA WITH CONFIDENCE AND PEACE OF MIND

Your safety is our top priority. The Tanzania Tourism Sector Safety and Protection (TTSSP) is dedicated to ensuring you have a secure, world-class experience while exploring our beautiful country.Before you…

Read More
Mheshimiwa Anderson Mutatembwa kwenye picha ya pamoja na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa ya Wizara ya Sheria ya Japan

BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AFANYA MAZUMGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA YA WIZARA YA SHERIA YA JAPAN

Tarehe 10 Februari 2026, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Japan, Mheshimiwa Anderson Mutatembwa, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Ito Hiroyuki, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa…

Read More