Bilateral Relation Change View → Listing

Afisa Ubalozi, Bi. Edna Chuku akiwa pamoja na wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha SOKA mara baada ya kuhitimishwa kwa Semina kuhusu Tanzania

SEMINA KUHUSU TANZANIA KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKA, JIJINI TOKYO, JAPAN

Tarehe 21 Juni 2023, Ubalozi ulitoa semina maalum kuhusu Tanzania kwa wanafunzi wa mwaka wa pili wanaosoma Masomo ya Kigeni katika Chuo Kikuu cha SOKA. Semina hiyo iliyofanyika chuoni hapo ilitolewa na Bi.…

Read More

MAHOJIANO YA MHE. BARAKA LUVANDA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA JAPAN-NHK, KUHUSU MWENENDO WA SOKO LA KAHAWA YA TANZANIA NCHINI JAPAN, WAKATI WA UZINDUZI WA KAHAWA YA TANZANIA KATIKA MIGAHAWA YA TULLY’S

Tarehe 9 Juni 2023, wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa kahawa ya Tanzania katika migahawa ya Tully's Coffee iliyoko Japan, Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda alifanya mahojiano maalum na Shirika la Utangazaji la…

Read More

TULLY’S CO. LTD., INAYOMILIKI MIGAHAWA MAARUFU YA TULLY’S COFFEE IMEZINDUA RASMI UUZAJI WA KAHAWA YA TANZANIA KATIKA MIGAHAWA YAKE NCHINI JAPAN

Kampuni ya Tully’s inayomiliki migahawa maarufu ya TULLY’s imezindua rasmi uuzaji wa kahawa ya Tanzania katika migahawa yao yote iliyoko nchini Japan. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 7 Juni 2023; na…

Read More
H.E. Ambassador Baraka Luvanda in a photo with Dr. Kazusue Konoike, The Consul of Tanzania in Osaka. On the right is the spouse of Dr. Konoike.

H.E. Ambassador Baraka Luvanda Pays a Courtesy Call on the Honorary Consul of Tanzania in Osaka

On 8 June 2023, H.E. Ambassador Baraka Luvanda paid a courtesy call on The Honorary Consul of Tanzania in Osaka, Dr. Kazusue Konoike. The two exchanged a great deal of information on enhancing trade, business,…

Read More

Official Launch of the Tanzania Coffee with brand names “Kilimanjaro GDM Farm WASHED” and “Kilimanjaro GDM Farm NATURAL” at the Tullyʼs Coffee Japan Co. Ltd., on 7th June 2023

Single farm production with two type of processing method brings out different attractive “Kilimanjaro Coffee”: “Kilimanjaro GDM Farm WASHED” and “Kilimanjaro GDM Farm NATURAL”. Launching from June…

Read More
Afisa Ubalozi,  Bi. Edna Chuku  kwenye picha ya pamoja na Prof. Tekemura Keiko, Mkuu wa Kitivo cha Lugha za Kigeni, Chuo Kikuu cha OSAKA

ZIARA YA UBALOZI KATIKA CHUO KIKUU CHA OSAKA, JAPAN, TAREHE 7 JUNI 2023

Tarehe 7 Juni 2023, Ubalozi ulifanya ziara katika Chuo Kikuu cha Osaka kilichopo Osaka, Japan na kufanya mazungumzo na Prof. Tekemura Keiko, Mkuu wa Kitivo cha Lugha za Kigeni chuoni hapo. Bi. Edna Dioniz…

Read More

TANZANIA FEATURES IN A JAPANESE TRADE MAGAZINE “MONTHLY GIFT PREMIUM - JUNE 2023 EDITION” TO HONOR THE COUNTRY’S 59TH UNION ANNIVERSARY, CELEBRATED ON 26TH APRIL 2023

The Gift Premium Magazine issued a special publication about Tanzania in its June Edition to commemorate the country's 59th Anniversary of Union on April 26, 2023.  With over a million readers, Gift…

Read More
Timu ya Tanzania ya Softball kwa Wanawake chini ya miaka 15 wakati wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuwania Kombe la Utsugi (Utsugi Cup)

USHIRIKI WA TIMU YA TANZANIA YA SOFTBALL KWA WANAWAKE CHINI YA MIAKA 15 KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SOFTBALL YA KUWANIA KOMBE LA UTSUGI

Tarehe 3 hadi 4 Juni 2023, Timu ya Tanzania ya Softball kwa Wanawake chini ya miaka 15 ilishiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Kuwania Kombe la Utsugi (Utsugi Cup) yaliyofanyika mjini Takasaki, Gunma,…

Read More