Talk Our Future from Africa - TOFA visits Tanzania on January 23rd to February 6th, 2023

A Japanese NGO - TOFA, visited Tanzania for the third time from January 23rd to February 6th, 2023 to support and promote educational, cultural, and environmental initiatives. They have already visited…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini New Zealand, mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KUNDI LA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI WA NEW ZEALAND

Tarehe 7 Februari 2023, Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na kundi la wafanyabiashara na wawekezaji wa New Zealand jijini Auckland, New Zealand. Kundi hilo lilijumuisha kampuni tano…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio New Zealand (Tanzania New Zealand Association – TANZA)

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA (DIASPORA) WANAOISHI NCHINI NEW ZEALAND

Tarehe 31 Januari 2023, Balozi wa Tanzania nchini Japan ambaye pia anawakilisha nchini New Zealand, Mheshimiwa Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo pamoja na kula chakula cha jioni na Viongozi wa…

Read More
Balozi Baraka Luvanda akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Gavana Jenerali na Amiri Jeshi Mkuu wa New Zealand, Mheshimiwa Bibi. Cindy Kiro

MHE. BALOZI BARAKA H. LUVANDA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA GAVANA JENERALI NA AMIRI JESHI MKUU WA NEW ZEALAND

Tarehe 31 Januari, 2023 saa 7.40 mchana Balozi wa Tanzania nchini Japan ambaye pia anawakilisha nchini New Zealand, Mhe. Baraka Luvanda akiambatana na Bw. Hosea Chikolongo, Afisa Ubalozi na Bw. Stuart J.…

Read More

The Matsumae International Foundation (MIF) Research Fellowship Program 2024 Announcement

The Embassy has received information on a research fellowship program from the Matsumae International Foundation (MIF) for young researchers who seek research opportunities in Japan. The MIF based in Tokyo,…

Read More

Call for Nominations: 2023 Japan International Award for Young Agriculture Researchers (Japan Award)

The Embassy has received information on Japan Award Prize aimed to young researchers who contribute to agriculture, forestry, fisheries, and related sectors.Please visit website for further…

Read More

TANZANIA PRESS RELEASE

The Ministry of Works and Transport has noted with serious concerns the publication of statement regarding the existence of civil unrest in the United Republic of Tanzania. The statement was made available on…

Read More