TANZANIA YAVUTIA WAWEKEZAJI KUTOKA NEW ZEALAND KWENYE SEKTA ZA TEHAMA (ICT), SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Tarehe 19 Novemba 2024, Ubalozi kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Chemba ya Biashara ya Afrika na New Zealand (ANZBC) uliandaa Kongamano la Uwekezaji lililofanikisha kuunganisha wadau…
Read More






