THE GOVERNMENT OF JAPAN ANNOUNCES PROGRAMS TO STUDY IN JAPAN THROUGH THE MINISTRY OF EDUCATION, CULTURE, SPORTS, SCIENCE AND TECHNOLOGY (MEXT) AND JICA AFRICAN BUSINESS EDUCATION INITIATIVE FY2023

Please open for information and application through the following links:Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology (MEXT)2023 MEXT Scholarship -The University of Tokyo :…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU YA “THE TANZANITE FESTIVAL” NA KUKABIDHI JEZI KWA TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WATANZANIA WAISHIO JAPAN YA “THE KILIMANJARO FC”

Tarehe 18 Septemba 2022, Balozi Baraka Luvanda amezindua na kukabidhi jezi kwa Timu ya Mpira wa Miguu ya Watanzania waishio Japan (The Kilimanjaro FC) ikiwa ni hatua ya kutimiza ahadi yake aliyoitoa wakati…

Read More

TANZANIA TRAVEL ADVISORY NO. 11 OF 8TH SEPTEMBER 2022 -  COVID 19

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIATRAVEL ADVISORY NO. 11 OF 08TH SEPTEMBER 2022The Government of the United Republic of Tanzania (URT) through the Ministry responsible for Health continues to enhance prevailing…

Read More
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, kwenye picha ya pamoja na Dkt. Tanaka Akihiko, Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) pamoja na ujumbe wao mara baada ya kuhitimishwa kwa mazungumzo ya pande mbili, tarehe 29 Agosti 2022

KUHITIMISHWA KWA MKUTANO WA KILELE WA TICAD 8; ULIOFANYIKA TUNIS, TUNISIA TAREHE 27 - 28 AGOSTI 2022

Mkutano wa Nane wa Kilele wa TICAD (Eighth Summit of Tokyo International Conference on African Development – TICAD 8) ulifanyika tarehe 28 – 29 Agosti 2022 mjini Tunis nchini Tunisia;  Rais wa Jamhuri…

Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa anamwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa TICAD (TICAD 8) unaofanyika tarehe 27 – 28 Agosti 2022, Tunis, Tunisia

MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ANASHIRIKI MKUTANO WA 8 WA KILELE WA TICAD (TICAD 8 SUMMIT); TUNIS, TUNISIA TAREHE 27 - 28 AGOSTI 2022

Leo tarehe 27 Agosti 2022, Mkutano wa 8 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development – TICAD 8 Summit) umeanza…

Read More

The 8th Edition of the Tokyo International Conference for African Development (TICAD 8) will be held on 27th - 28th August 2022 in Tunis, Tunisia

Tokyo International Conference on African Development (TICAD) is a Summit-level international conference on Africa’s development initiated by Japan, in 1993.The first Conference (TICAD I) was held by the…

Read More