WANADIASPORA KUWENI MABALOZI WA KUITANGAZA TANZANIA - WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA JUMUIYA YA WATANZANIA (DIASPORA) WAISHIO JAPAN, TAREHE 28 SEPTEMBA 2022, TOKYO
Tarehe 28 Septemba 2022 alasiri, Waziri Mkuu Majaliwa alikutana na kusalimiana na Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Diaspora) ijulikanayo kama Tanzanite Society ambayo ina wanachama takribani 400…
Read More






