MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2023) YAMEHITIMISHWA RASMI LEO TAREHE 29 SEPTEMBA 2023, TOKYO

Leo, tarehe 29 Septemba 2023, ni siku ya tatu ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa tarehe 27 Septemba 2023 jijini Tokyo.…

Read More

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN (SCAJ 2023) IMEPAMBWA KWA SEMINA MAALUM NA ZOEZI LA UONJAJI WA KAHAWA YA TANZANIA, TAREHE 28 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 28 Septemba 2023, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa jana tarehe 27 Septemba 2023…

Read More
Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Bodi ya Kahawa Tanzania na taasisi za Tanzania zinazohusika na kahawa, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan 2023 (SCAJ 2023), jijini Tokyo

TANZANIA YASHIRIKI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN, YALIYOFUNGULIWA RASMI LEO TAREHE 27 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 27 Septemba 2023, Mheshimiwa Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan ameungana na mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali wa nchi zinazozalisha kahawa duniani, kwenye hafla ya ufunguzi wa…

Read More

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WATANZANIA WAISHIO JAPAN KILIMANJARO FC YACHEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA LIGI KUU YA TOKYO (TOKYO METROPOLITAN SUPER LEAGUE)

Tarehe 24/09/2023 Timu ya mpira wa miguu ya Watanzania waishio Japan Kilimanjaro FC ilicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Guapo FC katika uwanja wa Mizumoto Sports Center Jijini Tokyo. Timu hiyo imechaguliwa…

Read More

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA PARTICIPATES IN THE SPECIAL FUN RUN EVENT AT TOKYO RINKAI DISASTER PREVENTION PARK, 24TH SEPTEMBER 2023

His Excellency Ambassador Baraka Luvanda joined this morning other Colleagues Ambassadors based in Tokyo in the “The Fun Run Event” organized by the Embassy of the Republic of Kenya in Japan. The colourful…

Read More

THE 7TH SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE 2023) - “Responsible Tourism for inclusive Growth”

The Embassy cordially invites all those involved in the tourism industry to attend the upcoming 7th Swahili International Tourism Expo (S!TE 2023). The event will be held in Tanzania's commercial city of…

Read More

2023 WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION (SCAJ 2023) - LIST OF TANZANIA COFFEE PRODUCERS AND EXPORTERS

We are excited to inform you that Tanzania will participate in this year's WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION (SCAJ 2023) from September 27 to 29, 2023 at Tokyo Big Sight Hall in Tokyo. We would…

Read More