Speeches and Press Release Change View → Listing

Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan (Tanzanite Society) mara baada ya kuhitimisha mazungumzo.

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA ASISITIZA UZALENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WALIOKO NCHINI JAPAN (DIASPORA), ALIPOKUTANA NAO KWA MAZUNGUMZO, TAREHE 19 MACHI 2023, TOKYO

Tarehe 19 Machi 2023, Mhe. Balozi Baraka Luvanda alikutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora) walioko nchini Japan ijulikanayo, Tanzanite Society, kwenye Makazi ya Balozi, jijini Tokyo.…

Read More

TANZANIA INVESTMENT CENTRE: MONTHLY INVESTMENT BULLETIN - FEBRUARY 2023

The Embassy is pleased to share with you the Investment Bulletin for February 2023 issued by Tanzania Investment Centre (TIC). The information herein will facilitate your investment interest, prioritization,…

Read More

MWANARIADHA ALPHONCE FELIX SIMBU KUTOKA TANZANIA, AIBUKA MSHINDI WA TATU KATIKA MASHINDANO YA “OSAKA MARATHON 2023”

Tarehe 26 Februari 2023, mwanariadha kutoka Tanzania, Bw. Alphonce Felix Simbu alishiriki kwenye Mashindano ya Osaka Marathon 2023 yaliyofanyika jijini Osaka, Japan. Mashindano hayo yaliandaliwa na Jiji la…

Read More

The Matsumae International Foundation (MIF) Research Fellowship Program 2024 Announcement

The Embassy has received information on a research fellowship program from the Matsumae International Foundation (MIF) for young researchers who seek research opportunities in Japan. The MIF based in Tokyo,…

Read More

Call for Nominations: 2023 Japan International Award for Young Agriculture Researchers (Japan Award)

The Embassy has received information on Japan Award Prize aimed to young researchers who contribute to agriculture, forestry, fisheries, and related sectors.Please visit website for further…

Read More

TANZANIA PRESS RELEASE

The Ministry of Works and Transport has noted with serious concerns the publication of statement regarding the existence of civil unrest in the United Republic of Tanzania. The statement was made available on…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BW. ANDO NAOKI, MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA JAPAN (JICA) ANAYESIMAMIA MASUALA YA AFRIKA KWENYE MAKAO MAKUU YA JICA JIJINI TOKYO

Tarehe 25 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Makamu wa Rais wa JICA, Bw. ANDO Naoki kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Tokyo. Katika mkutano huo, Bw. Naoki aliambatana na Bi. SUZUKI…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BALOZI SAIDA SHINICHI, MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA AFRIKA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA JAPAN KWENYE OFISI ZA WIZARA HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 13 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Balozi Saida Shinichi, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan kwenye Ofisi za Wizara hiyo jijini Tokyo. Lengo la…

Read More