Speeches and Press Release Change View → Listing

Call for Nominations: 2023 Japan International Award for Young Agriculture Researchers (Japan Award)

The Embassy has received information on Japan Award Prize aimed to young researchers who contribute to agriculture, forestry, fisheries, and related sectors.Please visit website for further…

Read More

TANZANIA PRESS RELEASE

The Ministry of Works and Transport has noted with serious concerns the publication of statement regarding the existence of civil unrest in the United Republic of Tanzania. The statement was made available on…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BW. ANDO NAOKI, MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA JAPAN (JICA) ANAYESIMAMIA MASUALA YA AFRIKA KWENYE MAKAO MAKUU YA JICA JIJINI TOKYO

Tarehe 25 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Makamu wa Rais wa JICA, Bw. ANDO Naoki kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Tokyo. Katika mkutano huo, Bw. Naoki aliambatana na Bi. SUZUKI…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BALOZI SAIDA SHINICHI, MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA AFRIKA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA JAPAN KWENYE OFISI ZA WIZARA HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 13 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Balozi Saida Shinichi, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan kwenye Ofisi za Wizara hiyo jijini Tokyo. Lengo la…

Read More

UNIVERSITY OF TSUKUBA, GRADUATE SCHOOL OF BUSINESS OF SCIENCE, HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCES HAS ANNOUNCED PROGRAM IN ECONOMIC AND PUBLIC POLICY (PEPP) FOR 2023 - 2025

We are happy to inform all interested Tanzanians about the Program in Economic and Public Policy (PEPP), Master's Program in International Public Policy, Graduate School of Business Science, Humanities and…

Read More
Mhe. Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida kwenye Makazi yake Tokyo, tarehe 01 Desemba 2022 wakati wa kuhitimisha Mkutano (APA Summit)

MHESHIMIWA MARY MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO WA KWANZA WA KILELE WA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI WA WANAWAKE WA NCHI ZA ASIA - PASIFIKI NA AFRIKA (APA SUMMIT), TAREHE 28 NOVEMBA – 01 DESEMBA 2022, TOKYO

Mhe. Mary Majaliwa, Mwenza wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshiriki kwenye Mkutano wa Kwanza wa Kilele wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Wanawake wa Nchi za Asia - Pasifiki na Afrika (APA…

Read More
Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Soka, Professor Akio Nishiura na wageni wengine waalikwa wa Shindano la Hotuba ya Kiswahili lililoandaliwa na Chuo Kikuu Soka

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA MGENI RASMI NA JAJI WA SHINDANO LA 32 LA HOTUBA KWA LUGHA YA KISWAHILI LA KUWANIA KOMBE LA MWASISI WA CHUO KIKUU SOKA, TOKYO

Shindano la 32 la Hotuba kwa Lugha ya Kiswahili la Kuwania Kombe la Mwasisi wa Chuo Kikuu Soka, Tokyo Japan lilifanyika tarehe 27 Novemba 2022 katika Chuo Kikuu Soka ambapo Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda…

Read More