News and Events Change View → Listing

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA RECEIVES TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP (TMG) AT THE CHANCERY, 02 OCTOBER 2023

H.E. Ambassador Baraka Luvanda received this morning members of the TOKUSHUKAI Medical Group for consultations on the proposed Kidney Disease and Transplant Centre at the University of Dodoma.TMG supports the…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahadhiri na viongozi wa Chuo Kikuu Tsukuba wakati wa Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Chuo Kikuu hicho, tarehe 30 Septemba 2023, Ibaraki, Japan

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA ASHIRIKI KWENYE MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA CHUO KIKUU TSUKUBA, IBARAKI, JAPAN

Tarehe 30 Septemba 2023, Ubalozi ulishiriki kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Tsukuba iliyofanyika chuoni hapo, jijini Ibaraki, Japan. Balozi Luvanda alikuwa miongoni mwa wageni…

Read More

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2023) YAMEHITIMISHWA RASMI LEO TAREHE 29 SEPTEMBA 2023, TOKYO

Leo, tarehe 29 Septemba 2023, ni siku ya tatu ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa tarehe 27 Septemba 2023 jijini Tokyo.…

Read More

SIKU YA PILI YA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN (SCAJ 2023) IMEPAMBWA KWA SEMINA MAALUM NA ZOEZI LA UONJAJI WA KAHAWA YA TANZANIA, TAREHE 28 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 28 Septemba 2023, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa nchini Japan (2023 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition), yaliyofunguliwa jana tarehe 27 Septemba 2023…

Read More
Mhe. Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Bodi ya Kahawa Tanzania na taasisi za Tanzania zinazohusika na kahawa, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan 2023 (SCAJ 2023), jijini Tokyo

TANZANIA YASHIRIKI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN, YALIYOFUNGULIWA RASMI LEO TAREHE 27 SEPTEMBA 2023, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 27 Septemba 2023, Mheshimiwa Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan ameungana na mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali wa nchi zinazozalisha kahawa duniani, kwenye hafla ya ufunguzi wa…

Read More

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA WATANZANIA WAISHIO JAPAN KILIMANJARO FC YACHEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA LIGI KUU YA TOKYO (TOKYO METROPOLITAN SUPER LEAGUE)

Tarehe 24/09/2023 Timu ya mpira wa miguu ya Watanzania waishio Japan Kilimanjaro FC ilicheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Guapo FC katika uwanja wa Mizumoto Sports Center Jijini Tokyo. Timu hiyo imechaguliwa…

Read More

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA PARTICIPATES IN THE SPECIAL FUN RUN EVENT AT TOKYO RINKAI DISASTER PREVENTION PARK, 24TH SEPTEMBER 2023

His Excellency Ambassador Baraka Luvanda joined this morning other Colleagues Ambassadors based in Tokyo in the “The Fun Run Event” organized by the Embassy of the Republic of Kenya in Japan. The colourful…

Read More