SEMINA MAALUM KUHUSU TANZANIA KATIKA CHUO KIKUU CHA WASEDA, JIJINI TOKYO, JAPAN
Leo, tarehe 20 Oktoba 2023, Ubalozi umetoa semina maalum kuhusu Tanzania kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha WASEDA kilichopo Tokyo, Japan. Semina hiyo iliyofanyika chuoni hapo ilitolewa kwa wanafunzi wapatao 70…
Read More






