Exhibitions and Fairs Change View → Listing

H.E. AMBASSADOR BARAKA LUVANDA AND TANZANIA COFFEE BOARD VISIT IFAD - JAPAN OFFICE IN YOKOHAMA, FOR FOSTERING SUSTAINABILITY OF THE COFFEE VALUE CHAIN PROJECT IN TANZANIA

On October 10, 2024, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda and Mr. Primus Kimaryo, Director General of the Tanzania Coffee Board, paid a courtesy visit to the IFAD Japan Office in Yokohama, where they…

Read More

MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA NCHINI JAPAN (SCAJ 2024) YAPAMBWA KWA SEMINA MAALUM NA ZOEZI LA UONJAJI WA KAHAWA YA TANZANIA, TAREHE 10 OKTOBA 2024, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 10 Oktoba 2024, jijini Tokyo, pembezoni mwa Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan (SCAJ) 2024, ikiwa ni siku ya pili ya Maonesho hayo, kumefanyika Semina Maalum kuhusu Kahawa ya Tanzania…

Read More

TANZANIA INASHIRIKI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA KAHAWA JAPAN (SCAJ 2024), YALIYOZINDULIWA RASMI LEO TAREHE 09 OKTOBA 2024, JIJINI TOKYO

Leo, tarehe 09 Oktoba 2024, Mheshimiwa Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan ameungana na mabalozi pamoja na viongozi mbalimbali wa nchi zinazozalisha kahawa duniani, kwenye hafla ya ufunguzi wa…

Read More

A DIALOGUE ON SUSTAINABILITY: AMBASSADOR BARAKA LUVANDA ADDRESSES UCC EVENT AT UCC PREMISES IN TOKYO

On another occasion today, 8th October 2024, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda participated as the key speaker at the UCC talk event titled UCC Sustainable Day - The Forefront of Coffee and…

Read More

CELEBRATING TANZANIA COFFEE IN JAPAN: AMBASSADOR LUVANDA GRACES TULLY’S BARISTA COMPETITION

On 8 October 2024, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda graced Tully’s Coffee Barista’s COMPETITION in Tokyo, where Tanzanian coffee, famously known as KILIMANJARO, was among the sampled coffees. Mr.…

Read More

SCAJ 2024: WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION

Tanzania will participate in the SCAJ 2024October 9 (Wed.) – 11 (Fri.)Venue: Tokyo Big Sight, West Hall Booth No.: 1007SCAJ 2024 visitor's registration: https://scajconference.jp/en/visitorSeminar and…

Read More

MAZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HALI YA UWEKEZAJI NCHINI NA MATARAJIO YA KONGAMANO LA MIUNDOMBINU LA JAPAN NA TANZANIA LITAKALOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, TAREHE 3 OKTOBA 2024

Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, akiwa na Balozi Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan; amezungumza na waandishi wa habari na kutoa…

Read More
Picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee katika hafla ya uzinduzi wa kahawa mbili mpya kutoka Tanzania zitakazouzwa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee, nchini Japan, tarehe 1 Oktoba 2024

HAFLA YA UZINDUZI WA AINA MBILI MPYA ZA KAHAWA YA TANZANIA NCHINI JAPAN, KWA UBIA WA KAMPUNI YA ITO EN LTD NA TULLY’S COFFEE, TAREHE 1 OKTOBA 2024, TOKYO, JAPAN

Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Kampuni ya ITO EN LTD, kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina mbili mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan. Aina hizo…

Read More