MAZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HALI YA UWEKEZAJI NCHINI NA MATARAJIO YA KONGAMANO LA MIUNDOMBINU LA JAPAN NA TANZANIA LITAKALOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, TAREHE 3 OKTOBA 2024
Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, akiwa na Balozi Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan; amezungumza na waandishi wa habari na kutoa…
Read More