RAIS NA AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA WATARAI ELECTRICAL CONSTRUCTION NA UJUMBE WAKE, KUTEMBELEA TANZANIA

Tarehe 2 Julai 2024, Ubalozi ulitembelewa na Ujumbe wa Kampuni ya Watarai Electrical Construction, miongoni mwa kampuni za Watarai Group yenye Makao Makuu Yamagata Japan, inayojishughulisha na masuala ya…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA APOKEA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WATANZANIA WANAOSOMA JAPAN, TAREHE 01 JULAI 2024

Leo, tarehe 01 Julai 2024, Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda aliwapokea Ubalozini, viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Japan “The Association of Tanzanian Students in Japan – TSJ”; na…

Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah aliyeambatana na Mhe. Baraka H. Luvanda pamoja na maafisa waandamizi wa Tanzania wakati wa Mkutano wa 4 wa Maandalizi (4th IPM) wa Maonesho ya EXPO 2025 Osaka, uliofanyika Nara, Japan

TANZANIA IMESHIRIKI KWENYE MKUTANO WA NNE WA MAANDALIZI (4TH INTERNATIONA PLANNING MEETING – IPM) YA MAONESHO YA DUNIA 2025, YAJULIKANAYO, EXPO 2025, OSAKA, KANSAI

Tarehe 25 - 27 Juni 2024, Tanzania ilishiriki kwenye Mkutano wa Maandalizi (International Participants Meeting - IPM) ya Maonesho ya Dunia 2025, yajulikanayo “EXPO 2025 Osaka, Kansai, Japan”, uliofanyika…

Read More
His Excellency Ambassador Baraka Luvanda in a group photo with some of the attendees at

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA GRACES THE “THE JAPAN-TANZANIA FRIENDSHIP PARTY” IN NAGOYA

On June 22, 2024, His Excellency Ambassador Baraka Luvanda accompanied by Embassy staff - Mr. Greyson Ishengoma and Mr. Kazuma Shirai, participated in the “The Japan-Tanzania Friendship Party" in Nagoya,…

Read More
Afisa Ubalozi, Bi. Edna Dioniz Chuku pamoja na wahitimu na wanafunzi watanzania kwenye picha ya pamoja wakati wa Mahafali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Japan (International University of Japan - IUJ), tarehe 22 Juni 2024.

UBALOZI WASHIRIKI KWENYE MAHAFALI YA WATANZANIA, CHUO KIKUU CHA KIMATAIFA CHA JAPAN (INTERNATIONAL UNIVERSITY OF JAPAN - IUJ), NIIGATA

Tarehe 22 Juni 2024, Ubalozi ulishiriki kwenye Hafla ya Mahafali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Japan (International University of Japan - IUJ) kilichopo Niigata, Japan. Katika Mahafali hayo, Watanzania…

Read More

THE EMBASSY WILL PARTICIPATE IN THE CAFE AND RESTAURANT TRADE FAIR IN JAPAN (CAFERES JAPAN), FROM JULY 16 TO 18, 2024, AT TOKYO BIG SITE

We welcome you to join us at the Cafe and Restaurant Trade Fair in Japan - CafeRes Japan, scheduled to take place from July 16 to 18, 2024, at TOKYO BIG SITE. This event provides a unique platform to explore…

Read More

TO ALL INTERESTED TANZANIANS - APPLICATION FOR PARTICIPATION IN THE VISITING RESEARCHER PROGRAM OF THE BISHOP WILLIAMS MEMORIAL FUND

To all Tanzanians interested in the Bishop Williams Memorial Fund - Visiting Researcher Program Scholarship support, please open the following link for full…

Read More
Ms. Edna D. Chuku, First Secretary of the Embassy (Economic Affairs) in a group photo with students and lecturers of the SOKA University (specializing in African Studies) after delivering a lecture about Tanzania, 19th June 2024.

THE EMBASSY ENLIGHTENS MINDS AT SOKA UNIVERSITY IN TOKYO BY DELIVERING AN AWARENESS LECTURE ABOUT TANZANIA, ON 19TH JUNE 2024

On 19th June 2024, the Embassy delivered a lecture about Tanzania at the Soka University, which is one among the top Liberal Arts universities in Japan. Based in the Japanese capital of Tokyo, Soka University…

Read More