UBALOZI WAPOKEA BINGWA WA DUNIA WA MARATHON - SGT. ALPHONCE SIMBU ALIYEAMBATANA NA MWANARIADHA CPL. JOSEPHAT GISEMO NA UJUMBE WA SHIRIKISHO LA RIADHA KUTOKA TANZANIA
Leo, Ubalozi umepokea wanariadha wa Tanzania, Sgt. Alphonce Felix Simbu, Mshindi wa Dunia wa Mbio Ndefu (Marathon) katika Mashindano ya Dunia 2025 yaliyofanyika Tokyo, Japan, pamoja na Cpl. Josephat Joshua…
Read More






