Tanzania Online Passport Application
Ubalozi wa Tanzania Tokyo unapenda kuwaarifu wote kuwa, Ubalozi umeanza kupokea maombi ya Pasipoti za kielektonik kuanzia tarehe 21/10/2019. Muombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombi kupitia tovuti ya Uhamiaji…
Read More





