Speeches and Press Release Change View → Listing

KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATI YA JIJI LA DODOMA NA NAGAI NCHINI JAPAN

Balozi Baraka Luvanda alishuhudia kusainiwa kwa makubaliano ya ushirikiano “Sister Cities” Kati ya Jiji la Dodoma na Nagai lililopo Mkoa wa Yamagata nchini Japan, tarehe 14 Oktoba 2024.Utiaji saini…

Read More

WANARIADHA SITA (06) WA TANZANIA WANG’ARA MBIO ZA NAGAI (NAGAI MARATHON 2024) NCHINI JAPAN

Wanariadha sita (06) kutoka Tanzania wameng’ara katika Mashindano ya mbio ndefu za Marathon za Nagai 2024, yaliyofanyika tarehe 13 Oktoba 2024, jijini Nagai, Yamagata.Katika mashindano ya Kilomita 42…

Read More

SCAJ 2024: WORLD SPECIALTY COFFEE CONFERENCE AND EXHIBITION

Tanzania will participate in the SCAJ 2024October 9 (Wed.) – 11 (Fri.)Venue: Tokyo Big Sight, West Hall Booth No.: 1007SCAJ 2024 visitor's registration: https://scajconference.jp/en/visitorSeminar and…

Read More

MAZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HALI YA UWEKEZAJI NCHINI NA MATARAJIO YA KONGAMANO LA MIUNDOMBINU LA JAPAN NA TANZANIA LITAKALOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, TAREHE 3 OKTOBA 2024

Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri, akiwa na Balozi Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan; amezungumza na waandishi wa habari na kutoa…

Read More
Picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee katika hafla ya uzinduzi wa kahawa mbili mpya kutoka Tanzania zitakazouzwa Kampuni ya ITO EN na Tully’s Coffee, nchini Japan, tarehe 1 Oktoba 2024

HAFLA YA UZINDUZI WA AINA MBILI MPYA ZA KAHAWA YA TANZANIA NCHINI JAPAN, KWA UBIA WA KAMPUNI YA ITO EN LTD NA TULLY’S COFFEE, TAREHE 1 OKTOBA 2024, TOKYO, JAPAN

Leo, tarehe 1 Oktoba 2024, Kampuni ya ITO EN LTD, kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina mbili mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan. Aina hizo…

Read More

ZIARA YA UJUMBE WA WAWEKEZAJI SITINI (60) KUTOKA JAPAN NCHINI TANZANIA, KUANZIA TAREHE 1 HADI 5 OKTOBA 2024

Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuwa Ujumbe wa wawekezaji 60 kutoka Japan, wanachama wa Shirikisho la Makampuni ya Japan kwa Maendeleo ya Miundombinu Afrika (Japan-Africa Infrastructure Development Association…

Read More

MANANASI YA TANZANIA KUANZA KUUZWA NCHINI JAPAN

Leo, tarehe 24 Septemba 2024, Balozi Baraka Luvanda amepokea kwa mara ya kwanza shehena la mananasi yaliyokaushwa kutoka Tanzania – Bagamoyo (Kimele, Mapinga) kupitia Kampuni ya Taishin Co. Ltd., ya Japan.…

Read More