News and Events Change View → Listing

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BW. ANDO NAOKI, MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA MAENDELEO LA KIMATAIFA LA JAPAN (JICA) ANAYESIMAMIA MASUALA YA AFRIKA KWENYE MAKAO MAKUU YA JICA JIJINI TOKYO

Tarehe 25 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Makamu wa Rais wa JICA, Bw. ANDO Naoki kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Tokyo. Katika mkutano huo, Bw. Naoki aliambatana na Bi. SUZUKI…

Read More

INVESTMENT OPPORTUNITIES FOR THE BLUE ECONOMY AND FISHERIES - ZANZIBAR

BLUE ECONOMYZanzibar recognizes the role of the Blue economy in promoting socio-economic development through better stewardship of the sea and related resources. This involves the utilization of maritime and…

Read More

MHE. BALOZI BARAKA LUVANDA AFANYA MKUTANO NA BALOZI SAIDA SHINICHI, MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA AFRIKA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA JAPAN KWENYE OFISI ZA WIZARA HIYO JIJINI TOKYO

Tarehe 13 Januari 2023, Balozi Luvanda alifanya mkutano na Balozi Saida Shinichi, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Afrika wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan kwenye Ofisi za Wizara hiyo jijini Tokyo. Lengo la…

Read More

MHE. DK. HUSSEIN ALI MWINYI, RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, AZINDUA DIKO LA KISASA NA SOKO LA SAMAKI MALINDI, ZANZIBAR; TAREHE 10 JANUARI 2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kwa diko la kisasa na soko la Samaki Malindi ni ushuhuda wa vitendo kwa Wazanzibari kuutafsiri maana halisi ya…

Read More
Balozi Baraka Luvanda kwenye picha ya pamoja na washiriki wote kwenye Mkutano wa Mwaka wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitanzania nchini Japan (TSJ)

MHESHIMIWA BALOZI BARAKA LUVANDA ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MWAKA 2022 WA UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA NCHINI JAPAN (TANZANIA STUDENTS ASSOCIATION IN JAPAN - TSJ) 30 DISEMBA 2022, FUKUOKA, JAPAN

Tarehe 30 Disemba 2022, Balozi Baraka Luvanda alishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka 2022 wa Umoja wa Wanafunzi wa Kitanzania walioko Japan (TSJ) uliofanyika katika mji wa Fukuoka, Japan. Mkutano huo…

Read More
The Embassy's First Secretary, Ms. Edna Chuku with students from Tokyo University of Foreign Studies, on 16th December 2022

A COURTESY VISIT BY THE STUDENTS FROM THE TOKYO UNIVERSITY OF FOREIGN STUDIES (TUFS)

On December 16, 2022, the Embassy welcomed seven Tokyo University of Foreign Studies’ students who are currently enrolled in a Kiswahili language training program at TUFS University in Japan. On behalf of…

Read More
H.E. Ambassador Baraka Luvanda in a group photo with University of Dodoma Delegation and Tokushukai Medical Group representatives

H.E. AMBASSADOR BARAKA LUVANDA WELCOMES DELEGATION FROM THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM)

On 16th December 2022, Ambassador Luvanda met with the team from the University of Dodoma (UDOM) led by Vice Chancellor Prof. Lughano Kusiluka, who was accompanied by Deputy Vice Chancellor for Planning…

Read More