TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA MKUTANO WA NANE (8) WA KILELE WA TICAD (TICAD 8) NA NAMNA TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA NA YALIYOAFIKIWA KATIKA MKUTANO HUO
Leo tarehe 7 Septemba 2022, saa 5.00 asubuhi, Balozi Baraka H. Luvanda, amezungumza na vyombo vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom uliokuwa mubashara kutokea Tokyo, Japan. Mazungumzo hayo yalijikita…
Read More






