Bilateral Relation Change View → Listing

A group photo of Tokyo University of Foreign Studies (TUFS) students with the Embassy's First Secretary, Ms. Edna Chuku, after the conclusion of a virtual lecture about Tanzania

THE EMBASSY DELIVERED A VIRTUAL LECTURE ABOUT TANZANIA TO THE TOKYO UNIVERSITY OF FOREIGN STUDIES (TUFS)

On 26th October 2022, the Embassy delivered online lecture about Tanzania at the Tokyo University of Foreign Studies (TUFS). Based in the Japanese capital of Tokyo, TUFS was designated as one of the…

Read More

TIMU YA RIADHA YA TANZANIA YASHIRIKI KWENYE MASHINDANO YA “NAGAI MARATHON 2022” YALIYOFANYIKA TAREHE 19 OKTOBA 2022, JIJINI NAGAI, JAPAN

Tarehe 16 Oktoba 2022, Ubalozi uliratibu ushiriki wa timu ya riadha ya Tanzania katika Mashindano ya “Nagai Marathon 2022” yaliyofanyika katika jiji la Nagai. Ujumbe wa timu hiyo ilijumuisha wanariadha…

Read More
H.E. Ambassador Baraka Luvanda in a photo pose with Ms. Kuniko Shimizu, CEO of Tanzaniaphilia and Mr. Hosea Chikolongo.

HIS EXCELLENCY AMBASSADOR BARAKA LUVANDA LURES THE HIGH-END TOURISTS FROM CENTRAL JAPAN

H.E. Ambassador Baraka Luvanda, accompanied by Mr. Hosea Chikolongo, Political and Cultural Attaché organized a “Joint Destination Promotion Event in Nagoya, Central Japan on 12 October 2022 with the…

Read More

THE EMBASSY PARTICIPATES IN THE “GLOBAL FESTA JAPAN 2022” FROM 1ST TO 2ND OCTOBER, 2022 IN TOKYO

The Embassy participated in “Global Festa Japan 2022" held from 1st -2nd October 2022 at Tokyo International Forum in Tokyo. This is one of Japan's largest international cooperation events to deepen…

Read More

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKUNDI YA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI WA JAPAN, TAREHE 28 SEPTEMBA 2022, TOKYO

TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza Uwekezaji barani Afrika kutoka Serikali ya Japan zitakazotolewa kuanzia Machi, 2023.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa timu…

Read More

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA KITAIFA YA HAYATI SHINZO ABE, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAPAN, TAREHE 27 SEPTEMBA 2022

Tarehe 27 Septemba 2022, Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye shughuli  ya mazishi ya kitaifa ya Hayati Shinzo Abe, Waziri Mkuu…

Read More

KAMPUNI YA JAPAN TOBACCO YAAHIDI KUNUNUA KILO MILIONI 30 ZA TUMBAKU TANZANIA

KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI / JT Group) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo.Ahadi hiyo imetolewa leo na Rais na Mtendaji Mkuu…

Read More

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN, FUMIO KISHIDA NA KUWASILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAPAN, HAYATI SHINZO ABE

Tarehe 26 Septemba 2022, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida na kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kifo cha Waziri Mkuu mstaafu…

Read More